Video: Imevuja! Wanasayansi Wakizungu wanaswa wakifanya michakato ya kuja kufanya majaribio ya chanjo ya Corona Afrika kwa kisingizio cha utafiti!

Kama na sisi Africa ni wajanja tutengeneze kirusi tuwaweke wazungu ili waje kuomba misaada ya madawa huku africa na tuwawekee masharti mengine mengine magumu
 


Alimdhulumu nani ?? hata yamfike hayo ??
 
Nitakuletea picha za Watanzania wenzetu waliuwawa na miili yao iko kwenye viroba
Mauwaji ya Watanzania huko rufiji
Azory gwanda Ben saanane Alphonce mawazo na Maelfu ya Watanzania wa huko Zanzibar waliouwawa na Wakoloni weusi
 
Nitakuletea picha za Watanzania wenzetu waliuwawa na miili yao iko kwenye viroba
Mauwaji ya Watanzania huko rufiji
Azory gwanda Ben saanane Alphonce mawazo na Maelfu ya Watanzania wa huko Zanzibar waliouwawa na Wakoloni weusi
Hatupo hapa kujadili uchama pelekeni mbali na siitajitahi izo picha au anzisha Uzi mwingine
 
Na sisi africa tungelikuwa na jitihada za kutafuta chanjo wala haya yasingekuwepo, so nilazima watufanyie majaribio kama malipo ya uzembe wetu kwasababu hata ikipatikana hatutoweza kuinunua tutasubiria tena tupewe bure.
So badala ya kukataa hii ishu kwa maneno, inatakiwa tuikatae kwa action kwa kuwaonyesha jeuri ya kuwa na sisi tunaweza kuwafanyia nyie majaribio vilevile
 
Wewe umewalaumu Wakoloni wa kijerumani sisi tunakuambia hawa Wakoloni weusi ndio hatari zaidi sasa unalalama nini?
Kumbe ulitaka nijibu unavyopenda wewe? Hatufani Mkuu Kila mtu na mtizamo wake hao wazungu hawakutoa hata nafasi ya kusema chochote tu, siitaji mtangange kubishana hapa tupo kwenye mada husika Tusilete uchama hapa, nakushauri fungua Uzi Mwingine unaohusu siasa.
 
A
Kuna mtu alimbambikizia kesi ?? aliiba bank ?? aliua, ??
Asee msomi huwa hadandii Gari Kwa mbele soma kichwa cha Mada unachafua hali ya hewa, Nenda kufungue Uzi kwenye jukwaa la siasa Msitake misimamo yenu tuifate au unishawishi ,Isiwe tabu Naenda kafungue Uzi jukwaa la siasa hapa mnaalibu mada husika unadhani utakuwa umeelewa.
 

Hawa hapa wataalamu wako waambie wafanye utafiti wa corona tuone
 


Wakianza kupuputika watu kama inzi , tutaikubali kwa kuwafuatia wenyewe , Time will tell
 
Acha ujinga wewe Bora mkoloni mzungu kuliko mkoloni mweusi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ni kweli kama ukianza kufuatilia wewe msomi , ilifikaje hata issue ya Lissu ikaingia hapa , usidandie baiskeli maana hiyo si gari
 
Aseee Nendeni kwenye jukwaa la siasa huko, afu ndo wasomi eti,mnaalibu Uzi huu sina mda kureply comment zenu na cha ajabu sasa sijazima maana hamna la maana hap mlichoandika

Nenden kwenye jukwaa la siasa mkashilikiane kuandika Uzi huwa sina hurka za kubishana na uzuri sijasoma comments zenu hazina maana
 
Tunapiga kelele wakati chanjo zote hapa Tanzania zinatoka kwao...Hatutengenezi hata chanjo ya polio wakiamua kutest hiyo chanjo Hakuna mtu atajua.. Tulieni.


Suluhisho elekezeni wasomi wenu waingie Lab wafanye tafiti sio kukimbilia kuunga mkono kama Dokta Kigwangala

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Haya wataalamu wako wakusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…