Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Ndio maana Lissu alistahili alichokipata, na Zitto atapata anachokitafuta
MIAFRIKA NDIVYO TULIVYO , HUNA JIPYA, Ni choyo, Roho mbaya , ulevi na ngono
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Lissu alistahili alichokipata, na Zitto atapata anachokitafuta
Kama na sisi Africa ni wajanja tutengeneze kirusi tuwaweke wazungu ili waje kuomba misaada ya madawa huku africa na tuwawekee masharti mengine mengine magumuWw upo kwenye cheo cha "upumbafu"! Huwezi elewa! Kwani ukimwi ulitoka wapi? Mtu anakutengenezea kirusi, anakiingiza mwilini mwako, baadae anakuletea viijimisaada vya uongo na kweli, afu ww kwa uzuzu wako na umbulula wako unampigia makofi na kumtukuza kwa kumshukuru!? Upumbafu ni janga baya kuliko majanga yote yanayoweza mpata mwanadamu! Pole yako!
Unajua sababu? Sasa kuleta picha ya mtu mmoja hapa haina mashiko na nilijua tangu kitambo upo kichama zaid, sipo kichama hapa huyu jamaa alivuka mstari mwekundu, na cha kuongezea hayo ni madogo walofanya wakoloni hicho ni kidogo, sijui kama umesoma historia
Jiulize vizuri hayo maswali majibu unayoAlimdhulumu nani ?? hata yamfike hayo ??
Nitakuletea picha za Watanzania wenzetu waliuwawa na miili yao iko kwenye virobaUnajua sababu? Sasa kuleta picha ya mtu mmoja hapa haina mashiko na nilijua tangu kitambo upo kichama zaid, sipo kichama hapa huyu jamaa alivuka mstari mwekundu, na cha kuongezea hayo ni madogo walofanya wakoloni hicho ni kidogo, sijui kama umesoma historia
Hatupo hapa kujadili uchama pelekeni mbali na siitajitahi izo picha au anzisha Uzi mwingineNitakuletea picha za Watanzania wenzetu waliuwawa na miili yao iko kwenye viroba
Mauwaji ya Watanzania huko rufiji
Azory gwanda Ben saanane Alphonce mawazo na Maelfu ya Watanzania wa huko Zanzibar waliouwawa na Wakoloni weusi
Jiulize vizuri hayo maswali majibu unayo
Wewe umewalaumu Wakoloni wa kijerumani sisi tunakuambia hawa Wakoloni weusi ndio hatari zaidi sasa unalalama nini?Hatupo hapa kujadili uchama pelekeni mbali na siitajitahi izo picha au anzisha Uzi mwingine
Kumbe ulitaka nijibu unavyopenda wewe? Hatufani Mkuu Kila mtu na mtizamo wake hao wazungu hawakutoa hata nafasi ya kusema chochote tu, siitaji mtangange kubishana hapa tupo kwenye mada husika Tusilete uchama hapa, nakushauri fungua Uzi Mwingine unaohusu siasa.Wewe umewalaumu Wakoloni wa kijerumani sisi tunakuambia hawa Wakoloni weusi ndio hatari zaidi sasa unalalama nini?
Labda hiyo amount ni kwenye dola ya ZimbabweHivi mnazipata wapi hizi habari za kipuuzi. Unajua usd 200m ni sawa na bei gani au unaongea tu
Asee msomi huwa hadandii Gari Kwa mbele soma kichwa cha Mada unachafua hali ya hewa, Nenda kufungue Uzi kwenye jukwaa la siasa Msitake misimamo yenu tuifate au unishawishi ,Isiwe tabu Naenda kafungue Uzi jukwaa la siasa hapa mnaalibu mada husika unadhani utakuwa umeelewa.Kuna mtu alimbambikizia kesi ?? aliiba bank ?? aliua, ??
Kumbe ulitaka nijibu unavyopenda wewe? Hatufani Mkuu Kila mtu na mtizamo wake hao wazungu hawakutoa hata nafasi ya kusema chochote tu, siitaji mtangange kubishana hapa tupo kwenye mada husika Tusilete uchama hapa, nakushauri fungua Uzi Mwingine unaohusu siasa.
Na sisi africa tungelikuwa na jitihada za kutafuta chanjo wala haya yasingekuwepo, so nilazima watufanyie majaribio kama malipo ya uzembe wetu kwasababu hata ikipatikana hatutoweza kuinunua tutasubiria tena tupewe bure.
So badala ya kukataa hii ishu kwa maneno, inatakiwa tuikatae kwa action kwa kuwaonyesha jeuri ya kuwa na sisi tunaweza kuwafanyia nyie majaribio vilevile
Acha ujinga wewe Bora mkoloni mzungu kuliko mkoloni mweusiUnajua sababu? Sasa kuleta picha ya mtu mmoja hapa haina mashiko na nilijua tangu kitambo upo kichama zaid, sipo kichama hapa huyu jamaa alivuka mstari mwekundu, na cha kuongezea hayo ni madogo walofanya wakoloni hicho ni kidogo, sijui kama umesoma historia
A
Asee msomi huwa hadandii Gari Kwa mbele soma kichwa cha Mada unachafua hali ya hewa, Nenda kufungue Uzi kwenye jukwaa la siasa Msitake misimamo yenu tuifate au unishawishi ,Isiwe tabu Naenda kafungue Uzi jukwaa la siasa hapa mnaalibu mada husika unadhani utakuwa umeelewa.
Aseee Nendeni kwenye jukwaa la siasa huko, afu ndo wasomi eti,mnaalibu Uzi huu sina mda kureply comment zenu na cha ajabu sasa sijazima maana hamna la maana hap mlichoandika
Nenden kwenye jukwaa la siasa mkashilikiane kuandika Uzi huwa sina hurka za kubishana na uzuri sijasoma comments zenu hazina maana
Hatupo hapa kujadili uchama pelekeni mbali na siitajitahi izo picha au anzisha Uzi mwingine