Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.
Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab -1 Shahab-2 Shahab -3 pia wana Qiam wana Ghadr wana Zolfaghar missiles. Haya kwa uchache tu.
Pia wana Makombora na Silaha hawajawahi kuzitumia wamesena wanaweza kuanza kutumia dhidi ya Israel.
Pia wana silaha na makombora ambayo wamenunua Korea Kaskazini na Urusi wamezifanyia marekebisho.
Pia wana silaha ambazo ni siri yao wamesema pia.
View: https://x.com/presstv/status/1780532350788473034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw