VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

Kuonyesha siraha ni jambo moja, na kutumia siraha ni jambo la pili

Yale makombora yaliyofyatuliwa kuelekea Israel, mengine yameua wajodan badala ya kule yalikotumwa, huu ndo ushamba wa kutumia siraha
Hapo ndio uelewe kuwa Iran ni akili kubwa.

Kwanza wametowa tahadhai wiki mbili kabala, halafu wametumia makombora ya kizamani sana ambayo yantumia injini za pikipiki, yamechukuwa masaa matatu kufika israel, lakini kizaa kizaa yalichozowa na kitahjhanani cha israel na mabasha na mashoga zao wote. Irano imefikisha ujumbe.

Julize, vipi Iran wangetumia makombora yao ya kisasa?

Iran hapo wamesaafisha store zao za kuhifadhia makombora ya kizamani.

Iran wametangaza jana, Israel ikifanya fypoko, watapigwa kwa nguvu mara kumi zaidi ya juzi.

Hesabu piga wewe hapo.

Sikiliza mabingwa wa vita duniani wanasema nini, huu sio ushabiki wa yanga na simba.
 
Haka ka sherehe kao wamekahamisha toka uwanja wa wazi hadi kwa military base yao - kisa woga wa Mu- islael
 
Hii kwa Waisrael weusi Makombora ya Iran yanakwenda masafa marefu zaidi ya KM 2000 ni sawa Dar es Salaam to Sudan na yanapiga pale yalipotumwa😀
Sema tu Iran Ina majini sana wanayatuma tuyaongoza . Hayo mabaruti Yao ndio maana tulipo Zima GPS majini yakaziongoza shabaha.

Alisikika myahudi wa tunu nguo.
 
Hii kwa Waisrael weusi Makombora ya Iran yanakwenda masafa marefu zaidi ya KM 2000 ni sawa Dar es Salaam to Sudan na yanapiga pale yalipotumwa😀
Hii inanikumbusha ballistic missiles ilivyosambaratisha Nevatim air base kule South israeli jumamosi iliyopita zile iron dome ni kama zilipigwa na mshangao hivi zinageuzia njiani na kuanguka.
 
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.

Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab -1 Shahab-2 Shahab -3 pia wana Qiam wana Ghadr wana Zolfaghar missiles. Haya kwa uchache tu.

Pia wana Makombora na Silaha hawajawahi kuzitumia wamesena wanaweza kuanza kutumia dhidi ya Urusi.

Pia wana silaha na makombora ambayo wamenunua Korea Kaskazini na Urusi wamezifanyia marekebisho.

Pia wana silaha ambazo ni siri yao wamesema pia.

View: https://x.com/presstv/status/1780532350788473034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Kuzitumia Dhidi ya Urusi???? Kwani Iran ana shida gani na Urusi???
 
Hapo ndio uelewe kuwa Iran ni akili kubwa.

Kwanza wametowa tahadhai wiki mbili kabala, halafu wametumia makombora ya kizamani sana ambayo yantumia injini za pikipiki, yamechukuwa masaa matatu kufika israel, lakini kizaa kizaa yalichozowa na kitahjhanani cha israel na mabasha na mashoga zao wote. Irano imefikisha ujumbe.

Julize, vipi Iran wangetumia makombora yao ya kisasa?

Iran hapo wamesaafisha store zao za kuhifadhia makombora ya kizamani.

Iran wametangaza jana, Israel ikifanya fypoko, watapigwa kwa nguvu mara kumi zaidi ya juzi.

Hesabu piga wewe hapo.

Sikiliza mabingwa wa vita duniani wanasema nini, huu sio ushabiki wa yanga na simba.
Masaa 3 mkuu?

Kuwa mshabiki wa nchi furani siyo dhambi, lakini tukiusema ukweli kuhusu wao, ndiyo hora zaidi
 
Ritz hawa jamaa wakorofi, wana pimp hadi makombora 😂😂
Hahahaha kila siku Israel wanafanya vikao leo Mawaziri Wakuu wa Ujerumani na Uingereza wameenda Israel kuwaambia Israel hawa jamaa ni hatari usijibu chochote😀 soma hii.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
The Shahab-3 is based on the Nodong, which is a North Korean missile. It has a range of about 900 km (560 miles). It has a nominal payload of 1,000 kg (2,200 lbs). A modified version of the Shahab-3, renamed the Ghadr-1, began flight tests in 2004. Several variants of Ghadr-1 have emerged, each of which have been slightly modified to improve reliability and operational simplicity. Most of Iran’s Shahab-3 missiles are believed to have been converted into the Ghadrmissiles. The Ghadr extends Iran’s reach to about 1,600 km (1,000 miles), which qualifies as a medium-range missile. But it carries a smaller, 750 kg (1,650 lbs) warhead.
 
Back
Top Bottom