VIDEO: Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, likiwa tayari kwa vita kamili

Cha kuchekesha Israel wanasema wamezuia 99% ya makombora ya Iran lakini hapo hapo wanaiomba Marekani na Umoja wa mataifa waiweke vikwanzo vikwazo vya Makombora Iran.
Udini unakusumbua mvaa kobazi
 
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.

Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab -1 Shahab-2 Shahab -3 pia wana Qiam wana Ghadr wana Zolfaghar missiles. Haya kwa uchache tu.

Pia wana Makombora na Silaha hawajawahi kuzitumia wamesena wanaweza kuanza kutumia dhidi ya Israel.

Pia wana silaha na makombora ambayo wamenunua Korea Kaskazini na Urusi wamezifanyia marekebisho.

Pia wana silaha ambazo ni siri yao wamesema pia.

View: https://x.com/presstv/status/1780532350788473034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mbona yalidunguliwa yote
 
Israel baada ya kupewa dozi yupo kimya anawaomba Marekani na Ulaya wawawekee vikwanza Iran vya makombora😀
 
Kicchapo alichochezea zayuni kutokea Iran na kinachoendelezwa na Hamas, Hizbollah na Wayemeni kimerudisha akili za mazayuni, kuna habari zime-leak kutokea Qatar, sasa mazayuni ni wao wanaomba poo Hamas wasimamishe kichapo Ghaza.
 
Wanaukumbi.
Iran inaadhimisha Siku ya Jeshi la Kitaifa kwa gwaride kubwa la kijeshi, kuonyesha utayari vita kamili na ulinzi wa nchi na mafanikio ya hivi karibuni katika sekta hii.

Kumbuka Iran ndiyo nchi pekee iliyotengeneza makombora ya kilomita 2,000 pia wana makombora kila aina kama Shahab -1 Shahab-2 Shahab -3 pia wana Qiam wana Ghadr wana Zolfaghar missiles. Haya kwa uchache tu.

Pia wana Makombora na Silaha hawajawahi kuzitumia wamesena wanaweza kuanza kutumia dhidi ya Israel.

Pia wana silaha na makombora ambayo wamenunua Korea Kaskazini na Urusi wamezifanyia marekebisho.

Pia wana silaha ambazo ni siri yao wamesema pia.

View: https://x.com/presstv/status/1780532350788473034?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Ndomaana Mayahudi yameweka mkia tumboni mamakke walijua kitakachofuata ni moto na nahisi wamejipima wakaona kina ni kirefu maana hata Bwanake alisema ukiyatimba mimi siji kukugombelezea!!!
 
Kuna walokole humu JF walisema Irani warushe hata jiwe Israel waone watakavyochakazwa😃
😀😀😀 Wakasema Iran itamalizwa kabisa...waulize Kiko Wapi??
 
Kicchapo alichochezea zayuni kutokea Iran na kinachoendelezwa na Hamas, Hizbollah na Wayemeni kimerudisha akili za mazayuni, kuna habari zime-leak kutokea Qatar, sasa mazayuni ni wao wanaomba poo Hamas wasimamishe kichapo Ghaza.
Kama Wanasema Mossad ni mabingwa hivi wameshindwaje wote Combine na CIA wanawasaidia kujua mateka waliko???
 
Hao hawana ubingwa wowote, wanategemea wasaliti ndiyo wafanikishe mambo yao.

Mmarekani Afhghanistan kahenyeshwa mpaka katoka mkuku.

Mazayuni nao nao wanahenyeshwa na vitoto vidogo vya Hams na wameshakiri kuwa hawawezi kuwashinda:

View: https://www.youtube.com/watch?v=d_Fck6XVwZU
 
Back
Top Bottom