Video: Je, hiki ndio kimesababisha Kemikimba, Katibu Mkuu Wizara ya Maji kutenguliwa?

Sio inawezekana, ndivyo ilivyotokea.

Na ndo maana waziri aliomba msamaha kwa niaba ya hao vijana sababu mtu yyt sensible hawezi ruhusu mtu wa chini yake aumie wakati chanzo ni yeye. Aliongezea sugar-coat tu
Kweli kabisa...nimeweka hilo neno ili kuweka tu mizani lakini kiuhalisia ndiyo hivyo na matokeo yake ni hicho kilichomkuta.
 
Nyinyi wenye akili na logic nyingi ndio sababu mnashindwa kufanya kazi kwny mazingira ya kiserikali Serikali, kama mtu wa Logic na miakili mingi mingi nenda zako kwny masoko ya hisa huko hutokutana na hizi protocol unazoziona hazina maana
 
Nikuelimishe kitu kidogo;
#Kwenye Itifaki hakuna kutambua watu kwa kutamka maneno "Itifaki imezingatiwa"
# Kwenye Itifaki kutotambua kwa kumtaja inaleta sana shida.
Hivyo, kwa kuitolea maelezo hoja yako ..pale inavyoonekana mlolongo wa watambulishwa ni ndefu...badala ya kutumia maneno ya " Itifaki imezingatiwa" wakati wa kufunga utambulisho tumia maneno haya" Mabibi na Mabwana".
Kumbuka tu kwamba hivi vitu viko rasmi na haviko tu kiholela.
 
Sisi binadamu tuna tofautiana mambo mengi, wengine kutokana na malezi na imani yake hawezi kuigiza au kuwa mnafiki..mfano mzuri ni aliyekuwa waziri mkuu hayati Sokoine..hajui kuigiza na hizo itifaki za kinafiki anaishi kiuhalisia..heshimu msimamo wa mtu wa aina hiyo pia..kwa hali ilivyo wa kuteua au kutoa vyeo kwa watu pasina kujali sifa, umri, uwezo nk ni mtihani kwa mtu anayeamini kuwa anaotakiwa kuwapa heshima kulingana na itifaki kiuhalisia hawastahili kwa sababu anawazidi kwa vitu vyote! Elimu, uwezo, umri nk mambo ya aina hii huyakuti nchi zingine ni hapa Tanzania tu kwa sabab ya ignorance na mazoea ya hovyo na kutoheshimu tofauti za kielimu, uwezo hata umri..kwa kutizama tu hivi Aweso na huyo mama Mhandisi wanarandana..kielimu, uwezo, umri nk tatizo inaweza wala si hiyo memo ni mahusiano kikazi baina yao hapo wizarani. Unaweza kutaja kinachopungua kwenye tukio kama wasipotajwa baadhi ya watu?
Itifaki hii ni hapa Tanzania tu? Mbona sehem nyingine haya ni mambo madogo sana..
 
Mm ndiye nilipeleka hicho kinoti kwa huyo mama, kiliandikwa hivi --wewe mama toka hapo kwenye podium waongee watu. Wewe huna hoja usitupotezee muda."
Wakati unaandika nilikuwa karibu yako naona ulichokiandika
 
Ukikaa kimya itapendeza sana kuliko hivyo unavyoendelea ..
 
Tutegemee nini kwa mtu anaeitwa mikimba?

Kaiachia mikimba.

As a woman she is super stupid. Kazi haziendeshwi kwa "emotions". She's not composed at all.

Kama ndiyo sababu ya kutumbuliwa, anastahiki.
 
🤣🤣🤣🤣🤣
Kujimwambafy ni usengeh sana.
Sasa hyo ilikua shida kubwa hadi kususa??
Wanawake ni mama zetu, lkn baadh yao hua wakuda.. kama huyo hapo.
Swali la kizush, hua wakitenguliwa wanapelekwa wapi?
Utumishi kuna benchi lao lakini salary itaendelea kusoma kila mwezi kama kawa sema allowances ndiyo kipengele tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…