The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Afande Sirro alidai kuwa ksma Lissu atateuliwa atapewa ulinzi masaa 24 na mtu wao. Hivyo hawakuwa na haha ya kumtafuta wakati ule. Je, Lissu ameoewa ulinzi...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi unaanzaje kwenda kwenye ofisi za wapinzani wake kusalimia,je? Ipo kwenye ratiba za nec
Itamshangaza mmeo.October 28,ccm itakushangaza.
Huyu afuatiliwe aliefanya hivi na ashugulikiwe ,maana amebeti na amani vipi Kama wafusi wangeamua kujibu mapigo ,sio ya kuchekea hii
Hahahaha"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Majinga kama mgombea waoMajinga sana haya majitu!
Hakuna mkoa wa Musoma, Musoma ni wilaya, mkoa ni Mara makao yake makuu ndiyo MusomaMEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Utasikia kesho kapewa ukuu wa wilaya..
Kwani wameingia ndani au wanapita barabarani?Mbona kwenye hiyo video sijaona jiwe likirushwa?
Nilichoona ni wanachadema wameenda kuwachokoza wanaCCM.
Hahaha hahaha hahaha Mwanza 50/50 Aseee lazimaa uwe unajifariji kwa kiwango cha hali juuuu Lissu Mwanza Atapata 20%MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Mbona kwenye hiyo video sijaona jiwe likirushwa?
Nilichoona ni wanachadema wameenda kuwachokoza wanaCCM.
Wameona wenye akili tuuMbona kwenye hiyo video sijaona jiwe likirushwa?
Nilichoona ni wanachadema wameenda kuwachokoza wanaCCM.
Somo lipi bibie ? Au kichapo ?Kuna haja ya kutoa somo
Kama aliyesemekana kumpiga WariobaHuyo mtasikia kesho kapewa hata ujumbe wa shina
Unataka amani huku ukirushia wengine mawe???Vurugu hazikubaliki, bilaAmani hata huo uchaguzi hautafanyika!!
Kunafanyika Kampeni na hatimaye uchaguzi ni Kwa sababu kuna Amani,
Huyu mbeligiji Yeye mwenyewe anajua kabisa hatoshinda, mpaka wapambe wake wote wanalijua Hilo, kinachofanyika ni kujaribu kuona kama naye anangekewa kiasi gani cha kukubalika?
Ikiwa ukawa ukipigiwa Chini sembuse huyo mbeligiji?
Tunasisitiza swala la Amani, Vyama vinadi Sera zao hila bughudha, mtu humtaki, tumia Sanduku la Kura kumkataa
Bila kuiba mwaka huu ni ngumu sana ...washauri wake aliowakumbatia walimdanganya hakuna hata haja ya kampeni anapita tu anapungia anashinda imekuwa tofauti.....ndio maana hakuna uchaguzi tangu tuingie vyama vingi ccm imfanya maandalizi mabovu ya ndani kama huuu , walijua watapitisha wabunge bila kupingwa wamekutana na upinzani mkali imebidi wasimamishe ......, wana ccm mashinani hawajapelekewa vifaa wale pesa za kampeni .....pesa zote amehodhi yeye , kibaya ni kuwa kutokana na mapendekezo ya Bashiru hata pesa za miradi midogo midogo zote wamechukua na wanashindwa kuwaletea huku chini pesa za kampeni ...MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Kwann mnakimbilia kusema ni CCM. Kwani Mwananchi wa kawaida ambae hamkubali lissu hawezi kufanya hivyo?CCM wajinga sana!! Sasa jengo Lao likichomwa hapo watalaumu??? Maana huo umati wa watu hapo ukiamua kuchoma hilo jengo nani atajibu??