VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

Afande Sirro alidai kuwa ksma Lissu atateuliwa atapewa ulinzi masaa 24 na mtu wao. Hivyo hawakuwa na haha ya kumtafuta wakati ule. Je, Lissu ameoewa ulinzi...!!
 
Hivi unaanzaje kwenda kwenye ofisi za wapinzani wake kusalimia,je? Ipo kwenye ratiba za nec

Tumefikia hatua mbaya sana hivi hizi barabara ni kwa ajili ya ccm tu chadema wakipita hapo ni tatizo.
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
Hakuna mkoa wa Musoma, Musoma ni wilaya, mkoa ni Mara makao yake makuu ndiyo Musoma
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
Hahaha hahaha hahaha Mwanza 50/50 Aseee lazimaa uwe unajifariji kwa kiwango cha hali juuuu Lissu Mwanza Atapata 20%
 
Kwani nini ofisi hiyo ya ccm jilani wasingeipiga kiberiti mpaka wamtoe aliyerusha jiwe,tufike mahali tujibu mapigo,ilitakiwa kuteketezwa.
 
Vurugu hazikubaliki, bilaAmani hata huo uchaguzi hautafanyika!!

Kunafanyika Kampeni na hatimaye uchaguzi ni Kwa sababu kuna Amani,

Huyu mbeligiji Yeye mwenyewe anajua kabisa hatoshinda, mpaka wapambe wake wote wanalijua Hilo, kinachofanyika ni kujaribu kuona kama naye anangekewa kiasi gani cha kukubalika?

Ikiwa ukawa ukipigiwa Chini sembuse huyo mbeligiji?

Tunasisitiza swala la Amani, Vyama vinadi Sera zao hila bughudha, mtu humtaki, tumia Sanduku la Kura kumkataa
Unataka amani huku ukirushia wengine mawe???
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
Bila kuiba mwaka huu ni ngumu sana ...washauri wake aliowakumbatia walimdanganya hakuna hata haja ya kampeni anapita tu anapungia anashinda imekuwa tofauti.....ndio maana hakuna uchaguzi tangu tuingie vyama vingi ccm imfanya maandalizi mabovu ya ndani kama huuu , walijua watapitisha wabunge bila kupingwa wamekutana na upinzani mkali imebidi wasimamishe ......, wana ccm mashinani hawajapelekewa vifaa wale pesa za kampeni .....pesa zote amehodhi yeye , kibaya ni kuwa kutokana na mapendekezo ya Bashiru hata pesa za miradi midogo midogo zote wamechukua na wanashindwa kuwaletea huku chini pesa za kampeni ...
Maandalizi upande wa vyombo vya dola ni hatari zaidi , huu ni uchaguzi pekee hadi sasa huoni Polisi kuwa na magari mapya na vifaaa kama huko zamani , acha zile posho zao za uchaguzi ....hata bendera ziko moja moja ..maana fuko la pesa za kampeni za ccm anadhibiti mdogo wake kabisa pamoja na mtoto wake .
Ni kuomba Mungu tu watu wasiingie barabarani kwani hivyo vifaa vya kudhibiti vurugu na hata morali haipo kwa askari ....usishangae wakizidiwa wakavua uniforms !!!
Kuna hoja nyepesi kama vitambulisho vya wamashinga zinaibua maswali kwakua hapakuwa na risiti zilizotolewa na haijulikani pesa zimeenda wapi
KUNA ZILE PESA ZA DPP ZINAZOITWA ZA MAFISADI WALIKUWA WANALIPISHWA ONLY IN CASH .....NA MWISHONI LAPTOPS ZIKAIBIWA NA VIDEO ZILI LEAK ....NASHANGAA HADI SASA LISSU HAJAMPIGA KWENYE HILI MAANA NALO NI BOMU LA NYUKLIA .....
PESA TASLIMU ALIZOKUWA AKIPOKEA DPP MAGANGA ALIKUWA ANAMPA NANI ...KWANINI HAZIKUWA ZINAENDA BANK??? NA BAADA YA WATU KULALAMIKA NANI WALE WALIENDA KUIBA LAPTOPS KUFICHA USHAHIDI ??
 
CCM wajinga sana!! Sasa jengo Lao likichomwa hapo watalaumu??? Maana huo umati wa watu hapo ukiamua kuchoma hilo jengo nani atajibu??
Kwann mnakimbilia kusema ni CCM. Kwani Mwananchi wa kawaida ambae hamkubali lissu hawezi kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom