VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

Hapa suala siyo kuamini, bali ni reasoning tu. Huwezi kukurupuka tu huko eti jiwe limerushwa na CCM kwasbbu alierusha alikua kwenye jengo la CCM.
Mzee reasoning yangu ndo imeconclude kuwa yule ni mtu wa Ccm. Wewe umeleta reasoning mpya kuwa kukaa jengo la Ccm sio kuwa mwana CCM. Sasa let’s agree to disagree
 
Mzee reasoning yangu ndo imeconclude kuwa yule ni mtu wa Ccm. Wewe umeleta reasoning mpya kuwa kukaa jengo la Ccm sio kuwa mwana CCM. Sasa let’s agree to disagree
Huwezi conclude jambo kubwa kama hilo basing on poor reasoning kwasbb tu ya imani yako kwa chama fulani.
 
CCM wajinga sana!! Sasa jengo Lao likichomwa hapo watalaumu??? Maana huo umati wa watu hapo ukiamua kuchoma hilo jengo nani atajibu??
INA MAANA HAKUKUWA NA SEHEMU NYINGINE YA KUFANYIA SHAMRA SHAMRA ZA LISSU TOFAUTI NA HAPO MAKAO MAKUU YA CCM?

MNACHOKOZA NYINYI HALAFU MNAKIMBILIA HUMU KWENYE KIJIWE CHENU?
 
Kwahiyo watu wote hao wameshindwa kudeal na huyo mtu?
 
Vurugu hazikubaliki, bilaAmani hata huo uchaguzi hautafanyika!!

Kunafanyika Kampeni na hatimaye uchaguzi ni Kwa sababu kuna Amani,

Huyu mbeligiji Yeye mwenyewe anajua kabisa hatoshinda, mpaka wapambe wake wote wanalijua Hilo, kinachofanyika ni kujaribu kuona kama naye anangekewa kiasi gani cha kukubalika?

Ikiwa ukawa ukipigiwa Chini sembuse huyo mbeligiji?

Tunasisitiza swala la Amani, Vyama vinadi Sera zao hila bughudha, mtu humtaki, tumia Sanduku la Kura kumkataa
Mimi nashangaa huo msemo anajua hatashinda.
Kwa hio mnatakaje?
 
INA MAANA HAKUKUWA NA SEHEMU NYINGINE YA KUFANYIA SHAMRA SHAMRA ZA LISSU TOFAUTI NA HAPO MAKAO MAKUU YA CCM?

MNACHOKOZA NYINYI HALAFU MNAKIMBILIA HUMU KWENYE KIJIWE CHENU?
Ile si njia!! Ulitaka wapite wapi??
 
Back
Top Bottom