Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Mwananchi wa kawaida ndo akae ndani ya jengo la Ccm?Kwann mnakimbilia kusema ni CCM. Kwani Mwananchi wa kawaida ambae hamkubali lissu hawezi kufanya hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwananchi wa kawaida ndo akae ndani ya jengo la Ccm?Kwann mnakimbilia kusema ni CCM. Kwani Mwananchi wa kawaida ambae hamkubali lissu hawezi kufanya hivyo?
Kuna tatizo gani akikaa kwenye jengo la CCM? Kwani majengo ya CCM ni lazima wakae wanachama wake tuu?Mwananchi wa kawaida ndo akae ndani ya jengo la Ccm?
Basi wewe amini sio mwana ccmKuna tatizo gani akikaa kwenye jengo la CCM? Kwani majengo ya CCM ni lazima wakae wanachama wake tuu?
Hapa suala siyo kuamini, bali ni reasoning tu. Huwezi kukurupuka tu huko eti jiwe limerushwa na CCM kwasbbu alierusha alikua kwenye jengo la CCM.Basi wewe amini sio mwana ccm
Mzee reasoning yangu ndo imeconclude kuwa yule ni mtu wa Ccm. Wewe umeleta reasoning mpya kuwa kukaa jengo la Ccm sio kuwa mwana CCM. Sasa let’s agree to disagreeHapa suala siyo kuamini, bali ni reasoning tu. Huwezi kukurupuka tu huko eti jiwe limerushwa na CCM kwasbbu alierusha alikua kwenye jengo la CCM.
Huwezi conclude jambo kubwa kama hilo basing on poor reasoning kwasbb tu ya imani yako kwa chama fulani.Mzee reasoning yangu ndo imeconclude kuwa yule ni mtu wa Ccm. Wewe umeleta reasoning mpya kuwa kukaa jengo la Ccm sio kuwa mwana CCM. Sasa let’s agree to disagree
Mpumbavu, kwani zilipo ofisi za ccm siyo Tanzania?Hivi unaanzaje kwenda kwenye ofisi za wapinzani wake kusalimia,je? Ipo kwenye ratiba za nec
Poor reasoning kwa vigezo vya nani??? Mbona umepanic we kilaza wa Lumumba?Huwezi conclude jambo kubwa kama hilo basing on poor reasoning kwasbb tu ya imani yako kwa chama fulani.
Wewe unampa mbwa usongo siyo!!!Si huwa mnasema mtakinukisha?
Sasa mbona hapo jiwe tu mmekimbia?
INA MAANA HAKUKUWA NA SEHEMU NYINGINE YA KUFANYIA SHAMRA SHAMRA ZA LISSU TOFAUTI NA HAPO MAKAO MAKUU YA CCM?CCM wajinga sana!! Sasa jengo Lao likichomwa hapo watalaumu??? Maana huo umati wa watu hapo ukiamua kuchoma hilo jengo nani atajibu??
Hakuna mkoa unaoitwa MUSOMA!MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Inawezekana ni kada wa CHADEMA ndiye aliyerusha kusudi uaribifu ulikumbe jengo la CCM!
Mimi nashangaa huo msemo anajua hatashinda.Vurugu hazikubaliki, bilaAmani hata huo uchaguzi hautafanyika!!
Kunafanyika Kampeni na hatimaye uchaguzi ni Kwa sababu kuna Amani,
Huyu mbeligiji Yeye mwenyewe anajua kabisa hatoshinda, mpaka wapambe wake wote wanalijua Hilo, kinachofanyika ni kujaribu kuona kama naye anangekewa kiasi gani cha kukubalika?
Ikiwa ukawa ukipigiwa Chini sembuse huyo mbeligiji?
Tunasisitiza swala la Amani, Vyama vinadi Sera zao hila bughudha, mtu humtaki, tumia Sanduku la Kura kumkataa
CCM ni wauaji. Polisi wanamwacha tu huyo CCM mwenzao. Magufuli tenda haki.
Ile si njia!! Ulitaka wapite wapi??INA MAANA HAKUKUWA NA SEHEMU NYINGINE YA KUFANYIA SHAMRA SHAMRA ZA LISSU TOFAUTI NA HAPO MAKAO MAKUU YA CCM?
MNACHOKOZA NYINYI HALAFU MNAKIMBILIA HUMU KWENYE KIJIWE CHENU?
Nimecheka sana wallahHivi unaanzaje kwenda kwenye ofisi za wapinzani wake kusalimia,je? Ipo kwenye ratiba za nec