Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,557
- 8,673
Lakini na wewe umefanya kosa hilo hilo kuamini kuwa aliyelalamika ni chama fulaniHuwezi conclude jambo kubwa kama hilo basing on poor reasoning kwasbb tu ya imani yako kwa chama fulani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini na wewe umefanya kosa hilo hilo kuamini kuwa aliyelalamika ni chama fulaniHuwezi conclude jambo kubwa kama hilo basing on poor reasoning kwasbb tu ya imani yako kwa chama fulani.
Mfuatile huyo jamaa michango yake humu, utamjua ni chama gani?Lakini na wewe umefanya kosa hilo hilo kuamini kuwa aliyelalamika ni chama fulani
Hao ni Majambazi wa mgombea wa CCM siyo makada...sasa hakuna makada CCM Kuna Majambazi
Mkoa wa Musoma?!MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Hapo sirro atakuambia vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya upelelezi ili kumbaini aliyerusha hilo jiwe, ambae najua hawezi kupatikana.Sasa tumuulize Sirro hiyo ndio amani wanayoitaka? Akifanyiwa Lissu hiyo niamani ikigeuka kwao kunaviashiria vya amani kuvunjika
Nimeangalia nakusikiliza mkutano wavyama vya wagombea urais Sita hivi ambavyo hata haviwezi na havinauhakika wakushida hatakitongoji huko Zanzibar vikilialia amani amani lakini sikumsikia hatammoja wao aliozungumzia haki haq wakati wameambiwa mara nyingi amani nitunda lahaq kwaufafanuzi kamanijuanavyo au kuelewa mm kabla yatunda mti ulitangulia ndio likaja tunda napia tunda linamsimu kwamaana hiyo haki ndio mti ilitulematunda vizuri nabora turutubishe mti uzidi kumea
Inawezekana una matobo badala ya macho
Kama mlimkosa risasi kwann jiwe limpate"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Hata risasi ilikuwa hivi hivi..."Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
Unataka kuchokonolewa?"Kada wa CCM" amejulikanaje asijekuwa chadema wanatafuta coverage.
Angekuwa kada wa CCM asingemkosa jiwe hata LA kisogo
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Sisi wenye dar es salaam yetu hatukubaliani na weweMEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA
MUSOMA
ARUSHA
MBEYA
KIGOMA
SINGIDA 50%/ 50%
KILIMANJARO
MOROGORO 45% /55%
LINDI
MTWARA
SONGWE
DAR ES SALAAM
MWANZA 50%/ 50%
Ndugu wewe ni nani daresalam mpaka useme yenu ?, au unawasemea na akina nani hasa ?, nadhani ingekuwa heri kama ungesema "mimi", kwa sababu hata familia yako tu (kama unayo) huwezi kuwapangia wampigie nani kura.Sisi wenye dar es salaam yetu hatukubaliani na wewe
Mkuu watoe somo lipi? Kwa fisiemu vurugu, mihemko na shari ni mahimizo na ushujaa!!Kuna haja ya kutoa somo
Fananisha ulichojibu na main post uone: kuna mtu kasemea mikoa kadhaa, mimi nimesemea mkoa ambao ninaishi kwa miaka 30, hayo ya familia yangu potezea maana wengine hatunaga vurugu kwenye familia: tunakula chakula pamoja, tunaabudu pamoja na tunaingilia na kutikea mlango mmojaNdugu wewe ni nani daresalam mpaka useme yenu ?, au unawasemea na akina nani hasa ?, nadhani ingekuwa heri kama ungesema "mimi", kwa sababu hata familia yako tu (kama unayo) huwezi kuwapangia wampigie nani kura.
Hawezi kuwakamata hata dak mojaPumbavu. Polisi kamateni huyo hayawani aliyerusha jiwe.
Swali langu lilikuwa rahisi sana, wewe ni nani hapo daresalaam mpaka useme Daresalam yetu ?, Jibu hilo swali niende nikanywe chai.Fananisha ulichojibu na main post uone: kuna mtu kasemea mikoa kadhaa, mimi nimesemea mkoa ambao ninaishi kwa miaka 30, hayo ya familia yangu potezea maana wengine hatunaga vurugu kwenye familia: tunakula chakula pamoja, tunaabudu pamoja na tunaingilia na kutikea mlango mmoja
Naona hujui kusomaSwali langu lilikuwa rahisi sana, wewe ni nani hapo daresalaam mpaka useme Daresalam yetu ?, Jibu hilo swali niende nikanywe chai.
ccm walidhani mwaka huu mambo yangeenda kimteremko,kinyume na matarajia wananchi wanaanza kuwaunga wapinzani kwa kasi ya ajabu.
Polisi hawakuwepo penye tukio?[SUP]Ofisi za CCM Bukoba zipo kwenye barabara Inayoelekea kwenye viwanja vya Gymkhana, ulipokuwa inaelekea huo msafara![/SUP]