VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

VIDEO: Kada wa CCM amrushia Tundu Lissu jiwe wakati akisalimia wana Bukoba mbele ya jengo la CCM Bukoba, Lissu alazimika kurudi ndani ya gari

Sasa tumuulize Sirro hiyo ndio amani wanayoitaka? Akifanyiwa Lissu hiyo niamani ikigeuka kwao kunaviashiria vya amani kuvunjika
Nimeangalia nakusikiliza mkutano wavyama vya wagombea urais Sita hivi ambavyo hata haviwezi na havinauhakika wakushida hatakitongoji huko Zanzibar vikilialia amani amani lakini sikumsikia hatammoja wao aliozungumzia haki haq wakati wameambiwa mara nyingi amani nitunda lahaq kwaufafanuzi kamanijuanavyo au kuelewa mm kabla yatunda mti ulitangulia ndio likaja tunda napia tunda linamsimu kwamaana hiyo haki ndio mti ilitulematunda vizuri nabora turutubishe mti uzidi kumea
Hapo sirro atakuambia vyombo vya ulinzi na usalama vinafanya upelelezi ili kumbaini aliyerusha hilo jiwe, ambae najua hawezi kupatikana.
 
Ukisoma comments hapa utajua namna wanaccm walivyochangia kwa busara na utulivu na sio kwamba propaganda machines za CCM hazijaona hii video lahasha, ni sababu hii video haina mshikamano, ummoja na Amani ya watanzania wengi

Ila ingetokea kwa upande wa pili sasa? Hii video ingekua ndio agenda kila kona na zingefumguliwa nyuzi si chini ya 1k kuhusu hii video zenye contents tofauti

Kwa haraka haraka unapata pictures za ni upande upi ni Chanzo na washabiki wa vurugu na machafuko kwenye siasa za Tanzania.
 
Ondoa Lindi hapo na mtwara.... Hawa wamwera na wamakonde hawana akili hata kidogo
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
 
MEKO HUU MWAKA KINA MIKOA ITAMKATAA MFANO KAGERA

MUSOMA

ARUSHA

MBEYA

KIGOMA

SINGIDA 50%/ 50%

KILIMANJARO

MOROGORO 45% /55%

LINDI

MTWARA

SONGWE

DAR ES SALAAM

MWANZA 50%/ 50%
Sisi wenye dar es salaam yetu hatukubaliani na wewe
 
Sisi wenye dar es salaam yetu hatukubaliani na wewe
Ndugu wewe ni nani daresalam mpaka useme yenu ?, au unawasemea na akina nani hasa ?, nadhani ingekuwa heri kama ungesema "mimi", kwa sababu hata familia yako tu (kama unayo) huwezi kuwapangia wampigie nani kura.
 
Fananisha ulichojibu na main post uone: kuna mtu kasemea mikoa kadhaa, mimi nimesemea mkoa ambao ninaishi kwa miaka 30, hayo ya familia yangu potezea maana wengine hatunaga vurugu kwenye familia: tunakula chakula pamoja, tunaabudu pamoja na tunaingilia na kutikea mlango mmoja
 
Swali langu lilikuwa rahisi sana, wewe ni nani hapo daresalaam mpaka useme Daresalam yetu ?, Jibu hilo swali niende nikanywe chai.
 
Back
Top Bottom