macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndiyo maan nikakuambia ni wewe. Wewe huwezi kukaa beach na mtoto wako akiwa amevaa bikini na sidiria tu lakini wenzako wanaweza. Wewe huwezi kukaa na mwano wakati ameacha matiti nje wakati wenzako wanaweza.Maumbile hayana kawaida. Shahidi Biology
Sehemu za siri zibaki kuwa siri!Ndiyo maan nikakuambia ni wewe. Wewe huwezi kukaa beach na mtoto wako akiwa amevaa bikini na sidiria tu lakini wenzako wanaweza. Wewe huwezi kukaa na mwano wakati ameacha matiti nje wakati wenzako wanaweza.
Wanaweza lakini hawapo sahihi. Reasoning!Ndiyo maan nikakuambia ni wewe. Wewe huwezi kukaa beach na mtoto wako akiwa amevaa bikini na sidiria tu lakini wenzako wanaweza. Wewe huwezi kukaa na mwano wakati ameacha matiti nje wakati wenzako wanaweza.
Naunga mkono hoja. Mtoto akiwa mdogo yes, ila akishakuwa mkubwa hivyo lazima iwepo limitation. haya mambo ya namna hii ya kisengerema kweliUnabebaje zigo hilo, halafu akili ipo kichwani ubooo0 hauna akili ni unaenda na hisia.
Kwangu mazoea ya hivyo binti ameshakuwa mkubwa, siwezi na sitaki kabisaa, lazima kuwepo na mpaka.
Na waafrika ndio mnaopandwa hisia hata mkiona mapaja ya wadada wakati hao waliowatangulia kuvaa nguo wanatembea na vichupi kawaida.Mazingira unayokulia yana impact kubwa sana kwenye maisha yako. Wewe kama tangu ukiwa mdogo mambo kama haya hujayafanya hapa utashangaa. Kama umezoea na ni utamaduni wenu, wala hutakuwa na hisia zozote. BTW hivi unajua waafrika nguo tumeanza kuvaa baada ya wakoloni kuingia? Mababu zetu walikuwa wanaishi maisha tofauti kabisa. Mtoto wako wa kike alikuwa anatembea bila sidiria na matiti yake baba anayaona tangu akiwa kigoli. Imagine una mtoto wa kike wa miaka 18, matiti ndiyo saa sita halafu muda wote mko pamoja.
Ni kutokana na mazoea ya familia au jamii husika. Ndiyo maana nikasema mazingira mtu aliyokulia yana-play part kwa kuamua ni nini hakiwezekena na ni nini kinawezekana. Huyo wako wa miaka 9 kuna familia nyingine hawagusini kabisa na baba zao.Na waafrika ndio mnaopandwa hisia hata mkiona mapaja ya wadada wakati hao waliowatangulia kuvaa nguo wanatembea na vichupi kawaida.
Sasa hivi tushazoea kuvaa nguo so haya mambo ya litoto lina tako linatikisika eti unalibeba kidady dady ni hatari kwa afya.
Nina mtoto wa kike anaeleka miaka 9. Now bado ananipanda panda akikua tu akazidi kumi hayo masuala ya kunipanda panda yanaishia hapo.
Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Upi huo unaoutaka mkuu hadi mtoto kakushtukia. Usije kujaribiwa mkuu....
Uzungu uzungu huu, mwishowe unamtafuna mwanaoNaunga mkono hoja. Mtoto akiwa mdogo yes, ila akishakuwa mkubwa hivyo lazima iwepo limitation. haya mambo ya namna hii ya kisengerema kweli
Kuna mambo mengi ya kufanya na hao binti zetu mapacha ya kuonesha upendo bila ya kufanya hivi ambavyo hawa wamefanya.B⦠nimetaka kukuita hapa mara nyingi ila nikasita.
Unaonaje hii? Unaweza kufanya hivi na binti zako?
Mdakuzi
Myself, I will never allow this! ghaiiiiiKuna mambo mengi ya kufanya na hao binti zetu mapacha ya kuonesha upendo bila ya kufanya hivi ambavyo hawa wamefanya.
Upendo kwa binti zangu ni sawa, ila ni lazima tujikumbuke kwamba sisi ni Waafrika, tuna aina zetu za uhusiano na mabinti zetu.
Ova
Asante sana b..., hope watashukuru pia kwa kuwa na mama bora zaidi.Myself, I will never allow this! ghaiiiii
Sasa mabinti wakifanya hivi na baba yao mimi nitafanya nae nini?
BTW, mapacha watamshukuru mama yao kwa kuwapatia baba bora bβ¦
Kaka, kwamba ukimuona binti yako uchi unaweza mlala?Unabebaje zigo hilo, halafu akili ipo kichwani ubooo0 hauna akili ni unaenda na hisia.
Kwangu mazoea ya hivyo binti ameshakuwa mkubwa, siwezi na sitaki kabisaa, lazima kuwepo na mpaka.
Uchi kwa bimana bahati mbaya ama!? Hapo hakuna tabu, kwanza ni tukio la mara 1 na la aibuKaka, kwamba ukimuona binti yako uchi unaweza mlala?
Aisee wanaume tuoneeni huruma ππ
Yah kweli kuna siku niliandika humu kuna vitu havitamake sense kwa KE kama ambavyo kuna vitu haviwezi kumake sense kwa ME.Uchi kwa bimana bahati mbaya ama!? Hapo hakuna tabu, kwanza ni tukio la mara 1 na la aibu
Shida ni mazoea ya namna hiyo, huwezi kucheza na binti yako mkubwa, ukambemba namna hiyo akulalie kifuani, anakuchezea kidevu huo ni mtihani dada, niamini mimi. Ub0o0o hauna akili ni hisia tu.
Ungekuwa mwanaume ingekuwa rahisi zaidi kunielewa dada yangu
Africa who? Which? Where?Your comment it's like you have never been in Africa..??!!!!!
Huo ni uhalisia, na upo sahihi kabisa.Yah kweli kuna siku niliandika humu kuna vitu havitamake sense kwa KE kama ambavyo kuna vitu haviwezi kumake sense kwa ME.
Nina binti anaendelea kukua.Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Tulia weweAfrica who? Which? Where?
Cha ajabu n nn hapoo? Tatizo lenu ni nyie wenyewe kuwaza ngono mda wotee.
Mxxxxiiiiieeeeew!!!