Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

Unabebaje zigo hilo, halafu akili ipo kichwani ubooo0 hauna akili ni unaenda na hisia.

Kwangu mazoea ya hivyo binti ameshakuwa mkubwa, siwezi na sitaki kabisaa, lazima kuwepo na mpaka.
Naunga mkono hoja. Mtoto akiwa mdogo yes, ila akishakuwa mkubwa hivyo lazima iwepo limitation. haya mambo ya namna hii ya kisengerema kweli
 
Mazingira unayokulia yana impact kubwa sana kwenye maisha yako. Wewe kama tangu ukiwa mdogo mambo kama haya hujayafanya hapa utashangaa. Kama umezoea na ni utamaduni wenu, wala hutakuwa na hisia zozote. BTW hivi unajua waafrika nguo tumeanza kuvaa baada ya wakoloni kuingia? Mababu zetu walikuwa wanaishi maisha tofauti kabisa. Mtoto wako wa kike alikuwa anatembea bila sidiria na matiti yake baba anayaona tangu akiwa kigoli. Imagine una mtoto wa kike wa miaka 18, matiti ndiyo saa sita halafu muda wote mko pamoja.
Na waafrika ndio mnaopandwa hisia hata mkiona mapaja ya wadada wakati hao waliowatangulia kuvaa nguo wanatembea na vichupi kawaida.
Sasa hivi tushazoea kuvaa nguo so haya mambo ya litoto lina tako linatikisika eti unalibeba kidady dady ni hatari kwa afya.
Nina mtoto wa kike anaeleka miaka 9. Now bado ananipanda panda akikua tu akazidi kumi hayo masuala ya kunipanda panda yanaishia hapo.
 
Ni kutokana na mazoea ya familia au jamii husika. Ndiyo maana nikasema mazingira mtu aliyokulia yana-play part kwa kuamua ni nini hakiwezekena na ni nini kinawezekana. Huyo wako wa miaka 9 kuna familia nyingine hawagusini kabisa na baba zao.
 
B… nimetaka kukuita hapa mara nyingi ila nikasita.
Unaonaje hii? Unaweza kufanya hivi na binti zako?
Mdakuzi
Kuna mambo mengi ya kufanya na hao binti zetu mapacha ya kuonesha upendo bila ya kufanya hivi ambavyo hawa wamefanya.

Upendo kwa binti zangu ni sawa, ila ni lazima tujikumbuke kwamba sisi ni Waafrika, tuna aina zetu za uhusiano na mabinti zetu.

Ova
 
Myself, I will never allow this! ghaiiiii
Sasa mabinti wakifanya hivi na baba yao mimi nitafanya nae nini?

BTW, mapacha watamshukuru mama yao kwa kuwapatia baba bora b…
 
Myself, I will never allow this! ghaiiiii
Sasa mabinti wakifanya hivi na baba yao mimi nitafanya nae nini?

BTW, mapacha watamshukuru mama yao kwa kuwapatia baba bora b…
Asante sana b..., hope watashukuru pia kwa kuwa na mama bora zaidi.

Ova
 
Kaka, kwamba ukimuona binti yako uchi unaweza mlala?

Aisee wanaume tuoneeni huruma 😂😂
Uchi kwa bimana bahati mbaya ama!? Hapo hakuna tabu, kwanza ni tukio la mara 1 na la aibu

Shida ni mazoea ya namna hiyo, huwezi kucheza na binti yako mkubwa, ukambemba namna hiyo akulalie kifuani, anakuchezea kidevu huo ni mtihani dada, niamini mimi. Ub0o0o hauna akili ni hisia tu.

Ungekuwa mwanaume ingekuwa rahisi zaidi kunielewa dada yangu
 
Yah kweli kuna siku niliandika humu kuna vitu havitamake sense kwa KE kama ambavyo kuna vitu haviwezi kumake sense kwa ME.
 
Your comment it's like you have never been in Africa..??!!!!!
Africa who? Which? Where?
Cha ajabu n nn hapoo? Tatizo lenu ni nyie wenyewe kuwaza ngono mda wotee.
Mxxxxiiiiieeeeew!!!
 
Back
Top Bottom