Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

Waende Bonde la Ziwa Rukwa wakajionee wenyewe,watu hawana nguo,mabinti na wanawake wanatembea kifua na mapaja wazi mbele za wanaume.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Bi mkubwa kashtukia kaanza kuwatenganisha kiutani.

Hali ilivyo mbaya zaidi ni kwenye dressing code. Unakuta katoka kadogo kabisa hata hakajitambui ila kanavalishwa nguo zisizokuwa na staha jambo ambalo anakuwa nalo na kutambua ni sahihi ilihali sio sahihi.

Akikua huwezi kumbadilisha tena.

Utandawazi unatuharibia sana lakini sisi pia tumekuwa bendera fuata upepo, tunaiga kila kitu.

Tuwafundishe watoto wetu mienendo sahihi ingali wadogo
 
Jipeni kaz umbea na unafiki sio deal kbsa mtakufa bila sababu

Tabia ya mtu haipimwi kwa matendo ya mtandaoni
Maisha ni km uji wa moto kila mtu ananjia yake ya kuunywa
 
Mzee kama hatafuni huyo mtoto nitashangaa sana πŸ˜ƒπŸ˜ƒ hayo yakukalia hayawezi kutetemeka hivyo dushe likabaki kuwa salama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hapana
 
Peleke upumbavu wako huko, najaribiwaje na mtoto? Mimi sina DNA ya Mbwa.
Upumbavu unao wewe kubwa jinga unapeleka mazoea kwa mwanao mpaka anakushtukia zee zima.....au unataka mcheze rede na binti yako ndo ujue umezaa? Wenye nzao za panga uzazi mna shida sana.
 
Upuuuzi huo ayo kwa mtoto chini ya umri wa miaka mitano tu
 
Hilo toto lenyewe lidangaji tu yale ya tabata tuma na ya kutolea nacheza milango yote.
Kuna mtoto hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…