Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Waende Bonde la Ziwa Rukwa wakajionee wenyewe,watu hawana nguo,mabinti na wanawake wanatembea kifua na mapaja wazi mbele za wanaume.Mazingira unayokulia yana impact kubwa sana kwenye maisha yako. Wewe kama tangu ukiwa mdogo mambo kama haya hujayafanya hapa utashangaa. Kama umezoea na ni utamaduni wenu, wala hutakuwa na hisia zozote. BTW hivi unajua waafrika nguo tumeanza kuvaa baada ya wakoloni kuingia? Mababu zetu walikuwa wanaishi maisha tofauti kabisa. Mtoto wako wa kike alikuwa anatembea bila sidiria na matiti yake baba anayaona tangu akiwa kigoli. Imagine una mtoto wa kike wa miaka 18, matiti ndiyo saa sita halafu muda wote mko pamoja.
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app