Video: Kama wazazi tumejenga mazoea na watoto wetu wa kike namna hii, tutawaacha salama kweli!?

Aisee, haya mambo tuliyasikia huko Ulaya, lakini nowdays si ajabu kuyakuta Afrika. Inasikitisha sana, huu ni zaidi ya mmomonyoko wa maadili
View attachment 2828407
Mazingira unayokulia yana impact kubwa sana kwenye maisha yako. Wewe kama tangu ukiwa mdogo mambo kama haya hujayafanya hapa utashangaa. Kama umezoea na ni utamaduni wenu, wala hutakuwa na hisia zozote. BTW hivi unajua waafrika nguo tumeanza kuvaa baada ya wakoloni kuingia? Mababu zetu walikuwa wanaishi maisha tofauti kabisa. Mtoto wako wa kike alikuwa anatembea bila sidiria na matiti yake baba anayaona tangu akiwa kigoli. Imagine una mtoto wa kike wa miaka 18, matiti ndiyo saa sita halafu muda wote mko pamoja.
 
Mkuu kwenye mazingira Kama hayo Kama unapata hisia kisa mazoea je utapata hisia ukiwa chumbani maana Psychological utaona normal kwako
 
Mazingira unayokulia yana impact kubwa sana kwenye maisha yako. Wewe kama tangu ukiwa mdogo mambo kama haya hujayafanya hapa utashangaa. Kama umezoea na ni utamaduni wenu, wala hutakuwa na hisia zozote. BTW hivi unajua waafrika nguo tumeanza kuvaa baada ya wakoloni kuingia? Mababu zetu walikuwa wanaishi maisha tofauti kabisa. Mtoto wako wa kike alikuwa anatembea bila sidiria na matiti yake baba anayaona tangu akiwa kigoli. Imagine una mtoto wa kike wa miaka 18, matiti ndiyo saa sita halafu muda wote mko pamoja.
Hili sio la kutetea ndugu. Ni mambo ya hovyo. Hii sio ishu ya mazoea, ni ishu ya reasoning!
 
Back
Top Bottom