Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Zanzibar 2020 VIDEO - KAMPENI ZANZIBAR: Tundu Lissu awapa somo muhimu Wazanzibar na Watanganyika juu ya Muungano. Je, Magufuli - CCM anaijua historia hii kweli?

Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Haya mambo muachieni mgombea nguli wa sheria maana huyo mgombea wenu hazielewi katiba ya Tanganyika(Tanzania) wala ile ya Zanzibar na nadhani haelewi pia hata maana ya huu muungano. Kwani ulimsikia akichangia lolote kwenye bunge la katiba? Tafuta michango ya Lissu kwenye bunge la katiba utajua shida tuliyonayo kwenye huu muungano wa sasa
 
Tundu Antipas Lissu amethibitisha kuwa
Anachuki
Visasi
Hasira

Ameamua Kama mbwai na iwe mbwai halafu huyo atapaa na familia yake kwenda kula vinono Ubelgiji
 
Mgombea wako ameharibu Sana hivyo acha kudakia hoja mufulisi
Safari hii itawabidi muihame nchi maana hamna jinsi ya kumsimamisha mh Lissu kuwa rais wa nchi hii baada ya uchaguzi.

Wananchi wazalendo wa nchi hii wamesha amua kuwa rais wa nchi yetu ni mh Lissu.

Na kama humjui vizuri basi ndiyo huu hapa chini.
photo%20266%2012-18-0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safari hii itawabidi muihame nchi maana hamna jinsi ya kumsimamisha mh Lissu kuwa rais wa nchi hii baada ya uchaguzi.

Wananchi wazalendo wa nchi hii wamesha amua kuwa rais wa nchi yetu ni mh Lissu.

Na kama humjui vizuri basi ndiyo huu hapa chini. View attachment 1562993

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli huyu ndugu nilijua ana nafuu kidogo Kimberly hafai kabisa. Hata Marekani ujokaribu kuvunja muungano, hakuna atakayekuvumilia. Lissu sio mzalendo
 
Hata ningekuwa wa Lesotho, nimeuliza swali muhimu Sana kwa mustakabali wa Tanzania. Huyo mgombea wenu anatakiwa aungane na wanaharakati wenzie. Amethibitisha kuwa hana sifa hata robo za kuwa mkui wa nchi
Basi ndiyo rais wako huyo, hutaki rudi kwenu huko unako kujua maana watanzania ndiyo wameamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina hakika wengi wanao comment hapa hawajaisikiliza hiyo clip hapo wamesoma heading tu basi.

Kwa kweli mhe Tundu Lissu huku anakokwenda sasa kunazidi kuwajengea watu fikira fulani hasi dhidi yake.
 
Back
Top Bottom