Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Usije kushangaa huyo mleta uzi ni mtu wa BurundiUnajua kwa undani asili ya huo muungano na hapa ulipofikia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usije kushangaa huyo mleta uzi ni mtu wa BurundiUnajua kwa undani asili ya huo muungano na hapa ulipofikia?
Mgombea wako ameharibu Sana hivyo acha kudakia hoja mufulisiChai aipate wapi? Fuatilia utafiti wa Twaweza ndiyo utapata jibu kamili la wapenzi wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....Huyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Kikoooo wapiii bwanaa ulijifanya wewe mbabee saanao madhila yamekufikaaaaaHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Anajua kusoma sasaumesoma rasimu ya warioba ?
Hao mataga walisha lishwa cd na kulazimishwa kuimezaMleta mada, hoja yako ya msingi ni ipi? Kama muungano huo hauna manufaa yoyote wa nini kwenda nao?
Hili lipo wazi.Muungano ni muhimu saana, Tanganyika na Zanzibar zikitengana usalama wa kila upande utakua mashakani, na mizozo ndo itaibuka mingi
Aanzie wapi, inawezekana hata hiyo neno rasimu haijuiumesoma rasimu ya warioba ?
Haya mambo muachieni mgombea nguli wa sheria maana huyo mgombea wenu hazielewi katiba ya Tanganyika(Tanzania) wala ile ya Zanzibar na nadhani haelewi pia hata maana ya huu muungano. Kwani ulimsikia akichangia lolote kwenye bunge la katiba? Tafuta michango ya Lissu kwenye bunge la katiba utajua shida tuliyonayo kwenye huu muungano wa sasaHuyu kweli anastahili kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Kwa kauli hizi, si ni wazi ameonesha kuwa atavunja Muungano?
Hata ningekuwa wa Lesotho, nimeuliza swali muhimu Sana kwa mustakabali wa Tanzania. Huyo mgombea wenu anatakiwa aungane na wanaharakati wenzie. Amethibitisha kuwa hana sifa hata robo za kuwa mkui wa nchi
Safari hii itawabidi muihame nchi maana hamna jinsi ya kumsimamisha mh Lissu kuwa rais wa nchi hii baada ya uchaguzi.Mgombea wako ameharibu Sana hivyo acha kudakia hoja mufulisi
Ukiona hadi bosi wao anawaomba eti wajibu hoja za mh Lissu mitandaoni basi elewa kuwa ndani ya lumumba moshi mweusi umetanda.Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
Kwakweli huyu ndugu nilijua ana nafuu kidogo Kimberly hafai kabisa. Hata Marekani ujokaribu kuvunja muungano, hakuna atakayekuvumilia. Lissu sio mzalendoSafari hii itawabidi muihame nchi maana hamna jinsi ya kumsimamisha mh Lissu kuwa rais wa nchi hii baada ya uchaguzi.
Wananchi wazalendo wa nchi hii wamesha amua kuwa rais wa nchi yetu ni mh Lissu.
Na kama humjui vizuri basi ndiyo huu hapa chini. View attachment 1562993
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi ndiyo rais wako huyo, hutaki rudi kwenu huko unako kujua maana watanzania ndiyo wameamuaHata ningekuwa wa Lesotho, nimeuliza swali muhimu Sana kwa mustakabali wa Tanzania. Huyo mgombea wenu anatakiwa aungane na wanaharakati wenzie. Amethibitisha kuwa hana sifa hata robo za kuwa mkui wa nchi
Ila ndugu hebu tuache ushabiki, Yale aliyotamka ni maneno ya kiongozi kweli?Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako....
Mlitaka awachekee hata baada ya kummiminia marisasi kama mnamuua tembo au kiboko mharibifu wa mazao?Tundu Antipas Lissu amethibitisha kuwa
Anachuki
Visasi
Hasira
Ameamua Kama mbwai na iwe mbwai halafu huyo atapaa na familia yake kwenda kula vinono Ubelgiji