Mataga ndivyo walivyo 'ubongo wa bata'.Kwel ww uelewa wako bado ni mdogo kwa hiyo umeshindwa kuelewa hapo , sijui ndo tuseme kichwa chako ni kibovu
Hata wewe kunapahala ukigusa ubaki salama,kwenye serikali yeyote ile duniani.Unamtegemea Mungu afu kwenye utawala wako kumejaa utekaji, mauaji, utesaji, unyanyasaji, uonevu, hila, ubaguzi, ubabe, dhihaka, chuki nk?
Unless aseme huyo Mungu anaye mtamka ni yupi.
Safi sana, naona mnamsaidia kukiri kwamba anahusika na matukio yote hayo yeye na serikali yake.Hata wewe kunapahala ukigusa ubaki salama,kwenye serikali yeyote ile duniani.
Hujatumia ubongo wako vizuri ulichokifanya ni matumizi mabaya ya ubongoHakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
CCM ni laana kwa nchiNimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Ulazima wa cccm kushinda ni upiMAliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Unaibishia video as if umeitazama wewe mwenyewe?Hakusema "Mungu akipenda au asipende" hapo umetia chumvi japo kuwa sisapoti alichosema, ila na wewe sikusapoti kwa kuongeza chumvi kwenye maneno yake.
Lissu alisema akishindwa hatamuachia Mungu... vp hapo?Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Itoshe kusema ccm ni chama cha mashetaniNimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Gusa unate.Safi sana, naona mnamsaidia kukiri kwamba anahusika na matukio yote hayo yeye na serikali yake.
Kwamba ndio unanitisha?!Gusa unate.
Mimi silolote sichochote,nikijichanganya naliwa kichwa.Kwamba ndio unanitisha?!
Habari ndio hiyo...Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Hv huyu ni nani?Nimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Mimi silolote sichochote,nikijichanganya naliwa kichwa.
Kwani maneno aliyoongea hugo ccm na mtoa mada yanamaana tofautiUnakubali kuwa kaongeza maneno mtoa mada ?
Ninachozungumzia mimi ni mtoa mada kuongeza maneno.
Haikutosha kumnukuu alivyosema huyo mama pekee ?