Maswali mengi unauliza.Unaweza kutupa tofauti ya kutaka na kupenda?
Je inawezekana vipi kitu utake kitu kitokee halafu uwe haujapenda kitokee?
Kwa uwezo na ukuu wa Mungu inashindakana vipi mambo anayopenda yasiweze kutokea?
Kutokuweka tafsiri zangu haikanushi kuwepo kwa kwa tafsiri nyingi katika kauli yake.
Labda useme unaomba niweke tafsiri ambazo naona zinaingia hapo,lakini kulazimisha ati kwamba sina haki ya kusema ina tafsiri nyingi mpaka niweke zangu hilo ni hamu yako ya kutaka kujua.
Sema unaomba,usinipangie utaratibu ndugu.
Sasa kwa mfumo huu kweli ndugu tutaelewana ?wewe ndiye umemtetea kuwa hakumaanisha kuwa Mungu apende au asipende.
Aliteleza tu msameheni - siku zote kufikiria kabla ya kutenda/ kutamka huwa ni jambo zuri
Hata hivyo ni wazi kuwa CCM lazima ishinde
Hapo ni uoga wa 'reaction' ya Jiwe ndo unafanya mpaka mtu anakosa lugha sahihi! 😅
Jiwe anaogopwa na CCM wenzake Kama mfalme Huhi'huhihuhi alivyokuwa anaogopwa na Wagagagigikoko, na wala hawampendi!
WAGAGAGIGIKOKO MMWAGENI HUHIHUHIHUHI BHANA!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
Kwani yule mama kamaanishaaa Mungu yupiii?Dah ,muogope Mungu wako unapo tetea Uovu.
Asa kwanini mleta mada alipotoa maana kama hiyo ukamwambia kaongeza chumvi?Sasa kwa mfumo huu kweli ndugu tutaelewana ?
Ok.
Tafsiri ya kwanza ninayoiona mimi
3.inaweza kumaanisha kuwa Mungu apende au asipende CCM itashinda tu yaani kwamba CCM haitegemei kupenda kwa Mungu ushindi wao.iwe isiwe watashinda..
Hapa kila anayeipenda ccm na ana akili timamu ni kumuombea mama huyu rehema kwa MunguNimesikiliza hii clip nimeogopa aisee, uchaguzi ndio upelekee matamko kama haya ya kujiona CCM ina nguvu kuliko Mungu?
Viongozi CCM muogopeni Mungu, kutamka maneno kama haya ya kudharau ukuu wake ni hatari kwa CCM na kwa Taifa
Aliongeza chumvi kwa kuongeza maneno na akaonesha kumnukuu.Asa kwanini mleta mada alipotoa maana kama hiyo ukamwambia kaongeza chumvi?
Mimi nafikiri sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo Mungu kupenda ni watu wengi kuamua nani awaongoze. Kusema ushindi ni lazima kunamaana tofauti na sauti ya wengi.(Mungu apende au asipende ni sahihi na hakuna alichoongeza)Unakubali kuwa kaongeza maneno mtoa mada ?
Ninachozungumzia mimi ni mtoa mada kuongeza maneno.
Haikutosha kumnukuu alivyosema huyo mama pekee ?
Sawa.Mimi nafikiri sauti ya wengi ni sauti ya Mungu hivyo Mungu kupenda ni watu wengi kuamua nani awaongoze. Kusema ushindi ni lazima kunamaana tofauti na sauti ya wengi.(Mungu apende au asipende ni sahihi na hakuna alichoongeza)
Kwani yule mama kamaanishaaa Mungu yupiii?
AMEKUFA HATIMAYE!