Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

Haaa haa just haa haaa .. Tripu shamba Tripu gereji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lissu alipiga na kuchakaza kabisa Mtupoli, likamwacha lijifie, mjanja akasepa.. KUDADEKI..!
Mheshimiwa Lissu Heshima yako mkubwa popote ulipo [emoji1488]
Lissu ni mtu mbad kweli
A very smart & intelligent Tanzanian.
Ni fukara wa akili tuu anayeweza kutotamani kufanya kazi na kichwa kama Lissu.
Ni nchi iliyokosa viongozi wenye maono tu inayoweza kutomtumia kichwa kama Lissu.
 

Eti mimi nakuona wewe ndiye MJINGA na KUBWA JINGA 100%...

Hii siyo ishu Tundu Lissu kuhusudu mtu mweupe...

By the way, huo utajiri unaosema mnao, una uhusiano gani na alichojadili Tundu Lissu...?
 
Huu ndio upinzani wa kijinga.

Diplomacy haifanyiki hadharani....

Lissu anapaswa kujua ndio kawaida, wizara wa mambo ya nje lazima ifanye maandalizi ya hii mikutano, ikiwemo kufanya behind the scene lobbying. Yaani Lissu anadhani Rais atatoka hapa Dar bila kuwa na kila kitu confirmed? This is very cheap.

Kuhusu kukataliwa mikutano ni kitu cha kawaida; watu wana interest zao, local na international. Kama wakiona mkutano au picha inaweza kuleta maneno zaidi ya faida, wanachomoa tu. Hata yeye Lissu nina uhakika kuna mikutano aliomba na akakataliwa, ustaarabu ni kutunziana heshima.

Inashangaza kwamba tunamshangaa waziri wa mambo ya nje kufanya kazi yake.
 
Huyu ni mpuuzi na lazima apuuzwe na walio na akili. Shetani hajawahi kumshinda Mungu CC Erythrocyte
 
Haaa haa just haa haaa .. Tripu shamba Tripu gereji 🤣🤣🤣🤣
Lissu alipiga na kuchakaza kabisa Mtupoli, likamwacha lijifie, mjanja akasepa.. KUDADEKI..!
Mheshimiwa Lissu Heshima yako mkubwa popote ulipo 🙏🏾
Aliona Lisije kikamfia. Akala nduki🤣🤣
 
Diplomasia ya kutaka sifa kwa mambo usiyofanya?

Hatushangai Waziri kwensa kufanya Lobbying. Tunashangaa kujitapa kwa wanademokrasia ambayo hamtekelezi lakini mnataka mkapate sifa.

Imekula kwenu. Dunia imebadilika achaneni na Mambo ya mwaka 47
 
Huyu ni mpuuzi na lazima apuuzwe na walio na akili. Shetani hajawahi kumshinda Mungu CC Erythrocyte
Mmedoda huko. Alitaka kwensa kupiga picha ya kuuzia kwamba nyie ni wanademokrasia??

Lawama zinaenda kwa Lissu kwani Lissu ni Jo Biden??
 
Yani hii hoja imeitoa Lisu?

Jamani mrudisheni huyo mtu nyumbani naona Amsterdam anamharibu kabusa sasa
 
Hata siku moja hupangilii muda wa kukutana na Raisi wa Marekani/makamu wake kwa kipindi cha mwezi mmoja. Ni lazima uwe umeplan zaidi ya miezi mitatu kabla hujapata huo muda. Kipindi kile nchi nyingi zinapanga kukutana na Raisi huyu katika mkutano huo.

Kwa mwaka huu Rais wa Marekani alikutana na zaidi ya viongozi 25 katika mkutano ule. Nao walipanga miezi mitano mpaka mwaka kabla.

Hivyo sikubaliani kuwa Waziri wetu wa mambo ya nchi za nje eti alihanhaika mwezi mzima akitafuta nafasi ya Rais wetu kupiga picha na Baiden - Hii siikubali. Kama Mama alivyosema alikutana na vikundi vingi na viongozi wa nchi mbali mbali - Hiyo ndio kazi aliyoifanya Waziri wetu Wa nchi za nje kwa mwezi mmoja nchini Marekani. Hiyo ya kupanga mipango ya mikutano si kitu rahisi.
 
USA ni rafiki wa kagame na museven!!!!


badilisheni fikra, USA wana interest ti
 
Kwani yupo hai?

Sasa unashangaa nini kwa mlinzi kufa kwa UVIKO 19 wakati aliyelindwa inasemekana kafa kwa sbb iyo hiyo...?
Sina hakika kama una akili sawasawa..yule mlinzi Lissu aliyesema kafa kwani ni kweli amekufa?..si yupo hai?
 
Tena alitwambia mapema gari lamkaa hilo, linazima mda wowote, kweli sio kweli😂
MaCCM ni vile tu akili zao hazina akili.
Wangekua wanamuelewa Lissu, ingewasaidia sana.😂😂😂😂
kumuelewa lissu na kufuata anayotaka ni sawa na kujipaka kinyesi unatembea unanuka kama yeye anavyo nuka kuolewa mwanaume hakufai akili zimeshahamia kuleeeeee!!!!!!!!!!
 
Kwa hiyo hoja zenyewe ndio zip hivi zinamsaidia nini mtz.Na kama kweli Chedema inataka nchi usingelichukua mtu uliyotuaminisha ni fisadi kisha unarudi kutuomba tumchague.hivi mnatuona wabongo hatuna akili au.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Aibuuuuu!! Mnapenda udikiteta wakati kuuishi mnaona aibu. Alitaka akapige Picha na Rais kwani inamsaidia vipi mwananchi??

Kwamba naye ni Mwanademokrasia?? Wazungu sio wajinga kama nyie waganga njaa ni Jk's Voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…