residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Lissu ni mtu mbad kweliHaaa haa just haa haaa .. Tripu shamba Tripu gereji [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lissu alipiga na kuchakaza kabisa Mtupoli, likamwacha lijifie, mjanja akasepa.. KUDADEKI..!
Mheshimiwa Lissu Heshima yako mkubwa popote ulipo [emoji1488]
A very smart & intelligent Tanzanian.
Ni fukara wa akili tuu anayeweza kutotamani kufanya kazi na kichwa kama Lissu.
Ni nchi iliyokosa viongozi wenye maono tu inayoweza kutomtumia kichwa kama Lissu.