You may not like this. But it happened...
Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla ili kumwandalia Rais nafasi ya kukutana na Rais Joe Biden na kupiga picha naye. Bahati mbaya alikataliwa...!
Kwanini? Msikilize Tundu Lissu kwenye video hiyo chini...
Na kama asemayo TL ni kweli [na ni kama kweli kwa 100%], basi bila shaka utawala wa CCM unàelekea ukingoni kwa sababu haiwezekani propaganda na udanganyifu uvuke mipaka mpaka kwa Rais Joe Biden wa USA...!!
Thank God kwa kuwa hawakufanikiwa kupitisha upuuzi wao kwa taifa hilo kubwa na rafiki yetu....
Msikilize Tundu Lissu...
View attachment 1970431