Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.

Sasa si wafanye ground invasion mbona maneno yamekuwa mengi waletee waletee
Mambo yanaenda hatua kwa hatua ili kupunguza casualaities, Israel anaweza kusafisha hilo eneo ndani ya Lisaa lakini tatizo Hamas wana michezo ya kuchokoza wanaume kisha wanajificha nyuma ya wanawake, wazee na watoto,

Wnadamu tumeumbwa kusahau ila acha nikukumbushe ya kwamba Israel alishazitwanga nchi 5 za kiarabu ndani ya siku 6 tu, kipigo kikali sana !!
 
Haha hawana kitu hao Hamasi hawezi kushindwa na virusha maboom kwa watoto na wanawake, kwenye ground war inataka wanaume na uwanaume huo hana US wala Israeli wao ndio wataomba vita visimame
Hawa Waisrael weusi wa Rombo wanachekesha wawaambie hao mabwana zao waonyeshe basi maiti za Hamas kama wanaume kweli wao kazi kurusha makombora huku wamejificha wanauwa watoto na wanawake,
 
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.

View attachment 2798399
Maana yake ni kwamba Vita hii haiishi hadi Palestine ibaki majivu....

🤔🤔🤔
Niko palee....👉👉👉
 
Hawa Waisrael weusi wa Rombo wanachekesha wawaambie hao mabwana zao waonyeshe basi maiti za Hamas kama wanaume kweli wao kazi kurusha makombora huku wamejificha wanauwa watoto na wanawake,
hamas hawaguswi ila hamas hawasongi mbele
 
Hao waliopo Qatar si wanajeshi we ungemuambia Natanyahu na Biden na hicho kimama chenu Hillary Clinton viende frontline basi

Hicho kimeshindwa mzuia mme wake kwenda nje ya ndoa kitaweza vita si kelele tu.
 
Attachments

  • 3f8c4491-4031-430a-8036-b0ba60119bc5.jpeg
    3f8c4491-4031-430a-8036-b0ba60119bc5.jpeg
    70.3 KB · Views: 3
Hicho kibibi kina kesi yake na mashetani wenzake wa kumvizia Donald kwa miaka Saba wamuue.
 
Unawapangia cha kufanya na wewe washauri mabwana zenu wakachukue mateka wao si wapi Gaza.
Kama mabwana zako wanaitaka ardhi yao kwanini wakajifiche qatar? Waende uwanja wa vita walivyovianzisha waipambanie ardhi yao. Halafu waambie hao mabwana zako wawaache huru vijana wetu wa kiTanzania waliowchukua mateka!
 
Back
Top Bottom