Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike
Kuna watu hamjitambui aliyekwambia Hamas ndio Palestina nani? Kuna Palestinians zaidi ya Million 2 Gaza pekee bado westbank na Jordan a total of 3 million and counting. Humo Israel pekee kuna Palestinians 1.5 Million!! Kwahiyo hata Hamas ikiisha itazaliwa kundi jingine. So walichokianzisha hakimaliziki hadi wapate haki yao.
 
Wapate haki gani zaidi ya kuwekwa huru dhidi ya Tawala ya kikandamizi ya magaidi wa Hamas wanaohatarisha na kugharimu maisha ya wapalestina wasio na hatia ? Haiingii akilini mtu anaetetea wapalestina anafyatulia makombora sehemu zenye misikiti ama makazi ya watu.

Hamas inabidi wachochewe kuni haswa,
 
Acha utoto, kule westbank kuna Hamas? Mbona kila siku mnawaua kama kuku?
 
Kuna watu hamjitambui aliyekwambia Hamas ndio Palestina nani? Kuna Palestinians zaidi ya Million 2 Gaza pekee bado westbank na Jordan a total of 3 million and counting. Humo Israel pekee kuna Palestinians 1.5 Million!! Kwahiyo hata Hamas ikiisha itazaliwa kundi jingine. So walichokianzisha hakimaliziki hadi wapate haki yao.
Haki yao wasuluhishe kwanza migogoro baina yao (HAMAS vs FATAH)
 
Mambo yanaenda hatua kwa hatua ili kupunguza casualaities, Israel anaweza kusafisha hilo eneo ndani ya Lisaa lakini tatizo Hamas wana michezo ya kuchokoza wanaume kisha wanajificha nyuma ya wanawake, wazee na watoto,

Wnadamu tumeumbwa kusahau ila acha nikukumbushe ya kwamba Israel alishazitwanga nchi 5 za kiarabu ndani ya siku 6 tu, kipigo kikali sana !!
Na acha nikukumbushe israel alitandikwa na mgambo wa hezbullah mwaka 2006 hadi marekani akaenda kuomba po, juzi aliingia kichwa kichwa gaza akala za uso hadi akasema hawa sio hamas kuna mkono wa mtu hadi sasa bado anajishauri atoke vipi, na netanyahu kachamganyikiwa huko kwanza kahama home kwake kaenda mafichoni na kawaponda viongozi wake wa ulinzi na usalama hadharani kwamba wanamfelisha
 
Na Net worth ya $4b misaada ya wapelestina anaishi nayo kidon
Kama wenyewe hawajalamika wewe unalalamika nini msome basha wako anavyo lalamika.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has apologised for a post in which he cast blame on the country’s security services for failing to anticipate Hamas’s October 7 attack, saying he was “wrong” to make such comments at a time when unity is paramount.

In a social media post late on Saturday, Netanyahu took a dig at his own intelligence services, saying they had failed to warn him of a looming Hamas assault and instead assured him the group was “deterred”.

“At no time and no stage was a warning given to Prime Minister Netanyahu regarding war intentions of Hamas,” Netanyahu wrote in the now-deleted post on X, formerly Twitter. “On the contrary, all security officials, including the head of army intelligence and the head of the Shin Bet, estimated that Hamas was deterred and interested in an arrangement
 
Angalia hili choko la Machame[emoji23] Mabasha zako wanashindwa kuingia Gaza wiki ya 3 walitoa masaa 24 ngoma ngumu hahaha eti Hamas wamejicha hospitali hapo hospitali si wanauwa watoto na wanawake labda nikuulize wewe shoga la Rombo umeishawai kuona maiti za Hamas?
Achana na vidagaa vilivyowateka wabongo wenzetu kwanza. Kuna hawa wakurungwa washatangulizwa mbele ya haki
IMG_20231031_000627.jpg
 
Mambo yanaenda hatua kwa hatua ili kupunguza casualaities, Israel anaweza kusafisha hilo eneo ndani ya Lisaa lakini tatizo Hamas wana michezo ya kuchokoza wanaume kisha wanajificha nyuma ya wanawake, wazee na watoto,

Wnadamu tumeumbwa kusahau ila acha nikukumbushe ya kwamba Israel alishazitwanga nchi 5 za kiarabu ndani ya siku 6 tu, kipigo kikali sana !!
Hiyo historia ya Israel kupigana na nchi 5 umeisoma kwenye kitabu gani?
 
Kama wenyewe hawajalamika wewe unalalamika nini msome basha wako anavyo lalamika.
Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu has apologised for a post in which he cast blame on the country’s security services for failing to anticipate Hamas’s October 7 attack, saying he was “wrong” to make such comments at a time when unity is paramount.

In a social media post late on Saturday, Netanyahu took a dig at his own intelligence services, saying they had failed to warn him of a looming Hamas assault and instead assured him the group was “deterred”.

“At no time and no stage was a warning given to Prime Minister Netanyahu regarding war intentions of Hamas,” Netanyahu wrote in the now-deleted post on X, formerly Twitter. “On the contrary, all security officials, including the head of army intelligence and the head of the Shin Bet, estimated that Hamas was deterred and interested in an arrangement
Tulia watu wa subuhana warudishwe kwa mola wao mlezi
 
Haha hawana kitu hao Hamasi hawezi kushindwa na virusha maboom kwa watoto na wanawake, kwenye ground war inataka wanaume na uwanaume huo hana US wala Israeli wao ndio wataomba vita visimame
ndugu Hamas wanaisha , wapalestina wanaisha , wanaumia sana sana sana bora wajisalimishe tu
 
Hiyo historia ya Israel kupigana na nchi 5 umeisoma kwenye kitabu gani?
Nenda google. Aridh zote zilizotekwa na Israel kuanzia milima ya Sinai mpaka Gollan,mpaka mashamba ya shebah(Lebanon),East Jerusalem vyote vilitekwa wakati huo. Sinai ilirudishwa baada ya Anwar Sadat wa misri kusaini mkataba wa amani na Israel
 
Acha utoto, kule westbank kuna Hamas? Mbona kila siku mnawaua kama kuku?
Kwasababu wanapenda kufakufa. Halafu hatujapendezwa na kuridhika idadi ya vifo 8000 Gaza. Kwa hili kusema kweli Israel imetuangusha sana. Ilitakiwa idadi ya vifo Gaza sasa hivi icheze laki na ushee huko. Israel ijitafakari
 
Tumechoka na story leo karibu week tatu wamejikusanya 350 000 +US na Uingereza, Faransa, Jeruman, Australia, Poland wanaogopa kuingiza boots zao Gaza, hi aibu kweli
Gaza yenyewe Ilala kubwa na Hamas ni kikundi tu kama panya road tu ndio mpaka mimeli kukusanya na wanajeshi wa akiba wote wameitwa bado wanafanya press confrence tu. Ukitaka kujuwa nguvu ya Hamas( kikundi tu) ni pale Nentanyau kutangaza we are in war, mfano mdogo wakati kuna mauwaji kule Mtwara sijui kikundi cha ugaidi kilitumwa kikundi kidogo tu cha jeshi wakaenda kuwapoteza. Hii sasa ni vita ya Israel, USA, UK, France na Germany dhidi ya kikundi cha wana mgambo cha Hamas. Sawa na Tyson Furry vs Mandonga halafu waende round 10 hata akishinda Tyson lakini bingwa atakuwa Mandonga.
 
Nenda google. Aridh zote zilizotekwa na Israel kuanzia milima ya Sinai mpaka Gollan,mpaka mashamba ya shebah(Lebanon),East Jerusalem vyote vilitekwa wakati huo. Sinai ilirudishwa baada ya Anwar Sadat wa misri kusaini mkataba wa amani na Israel
Sema ilitekwa na USA plus UK na wakati huo nchi nyingi za ME walikuwa maskini sana tu hawakuwa na utajiri waliokuwa nao sasa hivi, kumbuka na Urusi walishinda vita vya dunia kwa kuwasaidia sana nchi za west lakini leo anahangaika pale Ukraine.
 
Tumechoka na story leo karibu week tatu wamejikusanya 350 000 +US na Uingereza, Faransa, Jeruman, Australia, Poland wanaogopa kuingiza boots zao Gaza, hi aibu kweli
Kama unaweza kumshinda adui yako kwa kumpiga jiwe ukiwa mbali kuna haja gani ya kwenda kukabana nae mashati? David alimwua goliath kwa jiwe moja tu na akaenda kukata kichwa chake. Ndicho wanafanya israel
 
Back
Top Bottom