Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Video: Kutoa nafasi ya mapumziko (ceasefire) ni kuwapa zawadi Hamas. Mapumziko hayatakiwi mpaka zoezi likamilike

Ooh kuliko wayahudi ambao Hitler aliwafyeka million 6?

Ooh kama vita kuu ya dunia ambapo kwa siku walikua wanakufa wayahudi elfu 15! ?
Hatujaridhika na idadi ya vifo Gaza hadi sasa 8000. Ilitakiwa icheze laki na zaidi nafsi zetu zifurahi
 
Kama unaweza kumshinda adui yako kwa kumpiga jiwe ukiwa mbali kuna haja gani ya kwenda kukabana nae mashati? David alimwua goliath kwa jiwe moja tu na akaenda kukata kichwa chake. Ndicho wanafanya israel
unauwa watoto wadogo unavunja majengo unashambulia hospital unajisifia.
 
Waarabu wanaangalia tu kwa mbali hamas wanavyodundwa.
 
Waarabu wanaangalia tu kwa mbali hamas wanavyodundwa.
 
Haha hawana kitu hao Hamasi hawezi kushindwa na virusha maboom kwa watoto na wanawake, kwenye ground war inataka wanaume na uwanaume huo hana US wala Israeli wao ndio wataomba vita visimame
Haya ni maajabu nayo!
 
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.

View attachment 2798399

Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.​

Wapo qatar mkuu! Afu wabongo wenzetu wanatumika kama shield yao huko gaza[emoji30][emoji22][emoji24][emoji24]
Sasa kama wako Qtaar huko gaza Israel wanashambulia nn?
 
Nenda google. Aridh zote zilizotekwa na Israel kuanzia milima ya Sinai mpaka Gollan,mpaka mashamba ya shebah(Lebanon),East Jerusalem vyote vilitekwa wakati huo. Sinai ilirudishwa baada ya Anwar Sadat wa misri kusaini mkataba wa amani na Israel
Kwa hiyo ndo historia ina sema Israel ilipigana vita na mataifa 5?
 
Kama unaweza kumshinda adui yako kwa kumpiga jiwe ukiwa mbali kuna haja gani ya kwenda kukabana nae mashati? David alimwua goliath kwa jiwe moja tu na akaenda kukata kichwa chake. Ndicho wanafanya israel
Sasa kama anaweza kumshinda akiwa mbali hao wanajeshi wake wanao ingia gaza kila siku na kupewa kipigo na kukimbia wanakuwa wamefuata nn?
 
Tumechoka na story leo karibu week tatu wamejikusanya 350 000 +US na Uingereza, Faransa, Jeruman, Australia, Poland wanaogopa kuingiza boots zao Gaza, hi aibu kweli
wazee wa kujifariji baadae mna kuja na hashtag #freepalestine #gazagenocide
 
Mama Hillary Clinton nae anasisitiza muda huu hakuna mambo ya cease fire, hii imezoeleka kuwa zawadi kwa Hamas kujipanga upya, Kwa sasa walichokianzisha ni mpaka kimalizike.

View attachment 2798399
Mtu akihemkwa na kiburi kikimpanda ndivyo anavyokua.Anaona aibu kurudi nyuma.Kisingizio huwa watu wananionaje mimi nikirudi nyuma.
Bahari mabaya kwake hizo huwa ni dalili za kifo chake.Marekani na Israel wana tamaa za fisi kuwa wataimaliza Hamas na Palestina yote halafu watapata nafasi kuendeleza mipango yao ya kuitawala dunia na kuleta ufisadi zaidi.
Ikiwa watafanikiwa kuishika Gaza basi wakae mkao wa kuangamia wao na vibaraka wao wa mashariki ya kati.
 
Kwa hiyo ndo historia ina sema Israel ilipigana vita na mataifa 5?
Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwafanyia hisani na uadilifu wale ambao hawakupigana nanyi kwa ajili ya dini, wala hawakuwafukuza katika nchi zenu. Hakika Mwenyezi Mungu anawapenda wafanyao uadilifu. Isipokuwa Mwenyezi Mungu anawakataza kuwafanya marafiki wale wanaopigana nanyi katika dini, na wakawafukuza katika nchi zenu na wakasaidia katika kufukuzwa kwenu, na wawafanyao marafiki, basi hao ndio madhalimu" (60: 8 - 9)
 
Mayahudi hawawi radhi nawe, wala Wakristo, mpaka ufuate mila yao. Sema: Hakika uwongofu wa Mwenyezi Mungu ndio uwongofu. Na kama ukifuata matamanio yao baada ya ujuzi ulio kwisha kujia, hutapata mlinzi wala msaidizi kwa Mwenyezi Mungu.​

Haya maandiko! sijui mungu gani mbaguzi namna hiyo
 
Back
Top Bottom