Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Kama ni hivyo wenye vyeti feki kwann aliwatoa ?
kwann anawapa kesí watu za uhujumu uchumi ebu niishie ap
 
Kumiliki heka elfu ishirini na tano ni haki yake.Yeye kama mwanasheria amwage evidence kwenye mitandao tuone walivyoporwa hiyo ardhi siyo kujipayukia tu.
 
juzi lissu anasema ongezeko la mazao sio maendeleo , daaah kweli tuna safari ndefu sana kwa hizi mbuzi za upinzani
Sasa kama mazao yanaongezeka halafu hakuna masoko yanaharibika shambani hayo ni maendeleo gani ?
 
Pacha wake Tundu



Duniani wawiliwaili
 
Umesikia mangapi ya rais yupi aliyepita na ukafanyaje?
 
Basi Vibendera Mnaona Hoja na Kashinda tayari
hahahaa Kweli Tanzania Kuna Baadhi ya Vijana wapuuzi Kupindukia
huyo akipata 20% Mumpatie na Faru john Ashushie maaana utakuwa Ushindi kwake
Vyovyote itakavyokua ila jiwe lenu libeberu la tanzania....limeconfiscate mahekari yote hayo alaf mazombie yake mnalitetea kisa kumantain mavitambi yenu
 
Imemuingia ndo maana amepumzika....sis wengine wapambe hatuwez kusikia maumivu yake....mtu umetamba miaka mitano ukiitwa yesu ghafla unaitwa fisadi with evidences unafikiri mchezo
Tulia dawa ikuingie tratiibu hadi 28 oktoba.
 
Kumiliki heka elfu ishirini na tano ni haki yake.Yeye kama mwanasheria amwage evidence kwenye mitandao tuone walivyoporwa hiyo ardhi siyo kujipayukia tu.

You are too low, ndugu...!!

Tatizo lako ni moja tu: Unadhani kuwa kuna mtu anaweza kudanganya kila mtu wakati wote. Hayupo huyo mtu, si Rais Magufuli wala wewe maana duniani HAKUNA SIRI ILIYOSITIRIKA...!

Watu siyo wajinga ukadhani hawajui au hawaoni ujinga, uharamia, uovu na ukatili wa Magufuli. Wanafahamu, tunafahamu...

Labda nikuulize swali hili;

Wewe unaijua au umewahi kusikia sheria inayoitwa "SHERIA YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA?"

Huhitaji evidence zaidi ya hii iwapo kiongozi wa umma wa cheo cha juu kabisa cha uRais hatoi tamko la Mali zake kisheria...

Bwana John Pombe Magufuli hakuna ubishi kuwa ni Rais "mjinga"kabisa kuliko maRais wote kuwahi kutokea Tanzania kuwa nayo....

Ni mvunja sheria kwa uwazi kabisa kwa kutumia madaraka vibaya kwa makusudi ama kutokujua...

Ni mwizi, mbinafsi, " mjinga", asiye na ufahamu wala maarifa, mwongo na mnafiki kupindukia...!
 
Nikafikiri utakuja na ushahidi angalau hata wa watu wawili walioporwa ardhi.Dk slaa alikuwaga anayafichua mafisadi kwa ushahidi.Too low mamako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…