Uchaguzi 2020 Video: Lissu amtaka Rais Magufuli arudishe ardhi aliyopora pale Kihanga Karagwe

Ccm chama changu ni kama tumepoteana vile. Kila mgombea na lake. Kiburi cha mwenyekiti wetu kutopokea ushauri ndio inamkost Leo, mtu amekuwa mbishi mbishi kama shipa, acha apambane na hali yake. Labda atajifunza. Sasa tumeebaki kutegemea huruma ya tume na ya siro na wao bado kidogo karibu wana legea
 
CCM wanamiliki 69 asilimia ya ardhi tote y'a tz fikiria Maria's wastaafu, mawaziri wakuu, makatibu WA ccm wenyeviti MA rc MA DC MA ded das
 
Acha ujinga mbona yeye aliwanyang'anya sumaye na lowasa hiyo ardhi? na yeye anapita mlemle tafsiri ni fisadi
 
Ndio ilani ya Chadema hiyo? Duh.
huwezi kuongea sera bila mifano ili watu wakupate vizuri....... mifano ndiyo hiyo watu wanajitwalia ardhi huku wakiwaacha wananchi na umaskini.

Hapa kinachotakiwa ni majibu tu, Je hii ardhi imetwaliwa ama lah, na kama imetwaliwa je imefuata taratibu za kutwaa ardhi katika nchi yetu ? ni kwa sababu gani hasa? je wananchi hawa maskini walilipwa fidia nk

Lissu njoo na Ubungo & Kimara tunakusubiri kwa hamu kubwa - tuna machungu na majonzi makubwa mno mioyoni mwetu!!
 
Hoja gani?
Hoja kwamba MAGUFULI amejimilikisha ranch hko kwao jibu.
Hoja kwamba MAGUFULI alipora KOROSHO.
Hoja kwamba chato umejengwa bila kufuata sheria za manunuzi za Tanzania jibu.
Hoja kwamba watumishi hawajapandishwa mishahara wala cheo kwa miaka 5 iliyopita jibu
Hoja kwamba serikali YAke ilikuwa ndugu zetu huko MKIRU na kuwapoteza wengine kina Ben Sanane jibu.
Kwamba alibomoa nyumba za watu wa Kimara bila kulipa fidia yyete
 
Yamesikika mengi ila huyu kazidi kiburi, jeuri, dharau na uporoji uliokithiri.
Nimeshawazoea, jinsi mlivyokua mnamsema aliyepita unaweza kufikiri akitoka hapo mnamshtaki

Waapi
 
Mafisadi wanajificha nyuma ya pazia ya amani kutuibia. Muda wao umefika.
 
Acha ujinga mbona yeye aliwanyang'anya sumaye na lowasa hiyo ardhi? na yeye anapita mlemle tafsiri ni fisadi
Walikuwa hawaendelezi, yeye anaendeleza

Acha mambo ya kuambiwa kwanza una hakika aliwanyang'anya?
 
Tarehe 28 oktoba.
 
Tarehe 28 oktoba.
 
Duuu Mimi ni msukuma nilitaka nimpigi kura magu msukuma mwenzangu kumbe na lenyewe ni lijizi(linyoli) nimebadili maamuzi siwez kuchagua mwizi mm,ntampigia Hashim wa ubwabwa tu
hakuna msukuma anayejitambulisha kwa jinsi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…