Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

Unaweza kushughulikia haya!?
 
Na lao moja muhimu ni kumfreeze mleta laana Russia
 
Propaganda as usual
 

Nonsense
 
Very funny, mtu hajawahi kushika💣🔫🏹⚔️ anaitwa komandoo!?
Hii kali. Eti ana spirit Tu inatosha! Housekeeper wa Dubai! Akapigane?
Hicho kizee kimefanana na spy kabisa!
 

Ustadhi kwamba hapo umekaa unafikiri hilo halifahamiki Ukraine, kwa taarifa yako utakuta hao ni navy SEALS, SAS na makomando wengine wa kutokea mataifa ya magharibi ambao hawawezi kuhusishwa rasmi, inabidi waingizwe kwa namna ya kujitolea, sasa huyo unayesema kachero Mrusi ajipenyeze ndani ya hao.
Nashuku hata ndio maana jeshi la Putin limeshindwa kuteka mji wa Kiev, wanakutana na mapigo ya kikomando ambayo hawakua wamejiandaa....Halafu sasa hawa hapa chini ndio wanajeshi wa Urusi waliotolewa kafara na Putin kutangulia frontline, vitoto vidogo vimekamatwa vingi sana hadi huruma....Inabidi mama wao huko Urusi wapige simu kuwaliwaza maana wataanza kulialia.

 
Very funny, mtu hajawahi kushika💣🔫🏹⚔️ anaitwa komandoo!?
Hii kali. Eti ana spirit Tu inatosha! Housekeeper wa Dubai! Akapigane?
Hicho kizee kimefanana na spy kabisa!

Tatizo mlizoea makomando wa kwenye movies eti lazima atunishe misuli na kuonekana jitu la mtu kama Anold Schwazzneger....
Ukomando ni akili, ni watu wenye uzoefu wa kupanga mashambulizi na kuelekeza formations na jinsi gani mapigano yafanyike.
 
Walienda waziwazi bila kujificha Sirya na wakachemsha. Sasa hao wanaoingia kwa kujifichaficha watauweza musiki wa Russia?? Na hapo Russia anatuia 2% ya nguvu zake kijeshi..
 
Mlianza kutumia video hadi za kwenye ma game ....kweli mmeshikwa pabaya babylon.............nyie endeleeni kutikisa mbuyu tuwacheki mkitingisha wowowo zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…