Siku zote usuluhishaji huja pale mumeshindikana hajapatikana mshindi kwenye ugomvi wenu, upande mmoja ukizidi wa pili, mchezo unakua umeisha hata bila kuita msuluhishi, ila kama mkiwa wote level moja ndani ya stalemate yaani hakuna anayemshinda mwingine, ndio hupaswa aje mtu wa kuwatenganisha, sasa kwenye huu ugomvi Putin amewekeza wanajeshi 120,000 ila ameshindwa kuteka mji mkuu, wanajeshi wameanza kupora chakula kwa njaa, hivyo wapo kwenye stalemate, na kadiri siku zinaenda ndivyo makomando wengi wanazidi kuingia Ukraine kujitolea mhanga na silaha zinaongezwa kwa maelfu.
Kuna hiki kifaa kimekua nongwa kwa urusi, kinaondosha hayo mavifaru balaa