Video: Maelfu ya makomando wa kujitolea wanaingia Ukraine kila siku ili kusaidia kwenye mapambano

Hakika, sio wote wakenya sisi wengine ni wa TZ kabisa, mimi sielew hawa wanaofurahia Ukrain kuvamiwa na viwavi wa Russia
 
Acha uongo wewe.. uturuki hana ubavu wa kumpangia Cha kufanya urusi. Uturuki ni panya mdogo sana
 
Wakenya pumba kabisa, we unafikili Tembo akikonda atakua sawa na Mbuzi ?
We piga kelele Mwamba anaiteka miji uko.
Mwanaume vitendo tu maneno waachie akina Dada.
 
Hebu toa upuuzi wako hapa
 
Hili lilifikirika kitambo wakati tulidhani huyo Putin atamaliza shughuli ndani ya masaa 24.....mumesubirishwa hadi basi.
Putin ana utu sio kama mashetani wa magharibi hasa angekua muisrael angefumua nchi nzima bila kujali raia waliomo kwenye hio nchi, bora wasio na hatia wasepe wabaki wakina dada suzy wanyooshwe
 
Kuna Wanaigeria wameguswa sana na hiyo vita, wameanza mchakato wa kwenda kuwasaidia Ukraine ila wamesema watafika vita ikiisha
 
Unajidanganya. Kinyume chake naona mwisho wa Uongo wa USA kuwadanganya Washirika wake kwamba atawalinda wakivamiwa.

Leo Ukraine imeachwa peke yake ikipambana na Russia kwa kizingizio eti sio Mwanachama wa NATO.

Je,hiyo Sababu si ndio hiyo hiyo itakayoifanya Marekani na NATO wazipe kisogo Korea Kusini,Japan na Taiwan pindi zikivamiwa na China? Make Nchi Hizo sio wanachama wa NATO. Baada ya huu mgogoro wa Ukraine,Marekani inakwenda kuaibika Sana Tena Sana. Naiona Russia itakayoogopwa zaidi kijeshi japo kiuchumi itarudi nyuma Sana.

Nchi zenye Akili Kama Japan,na Korea Kusini zitaanza mchakato wa Kutengeneza Siraha za Nyuklia make Tech na Fedha wanazo kabisa.

Huu upuuzi wa nchi kuwa dhaifu Sana kijeshi kwa kutegemea Ulinzi wa Marekani unakwenda Kufa na naiona Marekani itakayokosa ushawishi wa kijeshi Duniani. MARK MY WORDS.
 
Russia , western country & America they are all devils, we choose sides.

Choice is yours

I'm pro Russia
 
Kwa mwendo huu watapenya vinega wa kutosha kwa kisingizio cha ukomandoo
 
Hivi ushajiuliza kwann wametengeneza Humanitarian Corridors ili raia watoke? Yajayo baada ya izo Corridor kufungwa sijui tu, mana utakayekua umebaki umedhamilia kupambana na ww ni askari. Ukifanya hv na wenzako ktk uwanja wa vita wa MI wao wanakusanya taarifa
 
Hakika, sio wote wakenya sisi wengine ni wa TZ kabisa, mimi sielew hawa wanaofurahia Ukrain kuvamiwa na viwavi wa Russia
Yaani inakushinda hata ccm kuchanganua mwamba inaelekea history na physics hukosoma wa maswala ya imani upo neutral
 
Ngoja niwatonye mkuu hao ni wanajeshi wa nato wanaingia kwa kivuli cha kujitolea Marekani hajawahi kuishiwa mbinu.
ngoja nikutonye RUSSIA walijua kama hao kenge watakuja tu na atwafyagia vile vile
 
Ni kawaida kwa Urusi kupandikiza majasusi na hawajaanza leo, ila akipatikana mmoja kama huyo inakua aibu Kwa ukoo wake na wajukuu wake kwenye historia
Ndo kwanza asubuhi......tikiseni tu mbuyu hadi jioni ikifika tuone makunyanzi ya marinda yenu
 
Upo sahihi kabsa nmezungumza na mjeda flan aliyeko karibu na nchi anasema Ukraine wanalia kama watoto mrus kaharibu kila kitu..wanakimbia kama kuku had majeshi ya urus sometimes yanasaidia ku evacuate raia wasepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…