Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

🤣 🤣🤣 Si atafute tu mkalimani, shida iko wapi na mbona wengine huwatumia wakalimani kuliko kujiaibisha hivyo.
 
Kwa hiyo anatembelea maendeleo ya vitu? Kwanini hahaha?
 
Hivi kwa kiingereza kinachochekesha kama hiki kwa mfano ungekuwepo ukumbini ungeachaje kushangilia na kupiga makofi

 


Taabu moja ni kuwa kiingereza anakipenda. Ndiyo maana haishi kuchomeka chomeka vimaneno vya kiingereza.

Taabu ya pili kiingereza hakijui kabisa!

Si angeongea kisukuma tu kuna na kina Chagu wa Malunde wa Malunde wange tafsiri tu?
 
Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa

Mbona anatembea na maji hata wakati asiotumia nguvu kuzungumza, au tayari ana kisukari?
Maana toka arudi nchini naona nae tumbo limekuwa mbele,
Naona amerithi mambo mliyoyaita ya CCM tumbo mbele, sasa limegeuka kwenu
Chadema tumbo mbele.
 
Mbona anatembea na maji hata wakati asiotumia nguvu kuzungumza, au tayari ana kisukari?
Maana toka arudi nchini naona nae tumbo limekuwa mbele,
Naona amerithi mambo mliyoyaita ya CCM tumbo mbele, sasa limegeuka kwenu
Chadema tumbo mbele.
Vipi unataka awe na six pack kama mumeo?
 
Naona mamlaka zinamkimbuka bashite angekuwa ashaamrisha polisi wamkamate tundu lisu. Huyu jamaa alipenda shari japo anajifanya mtu wa mungu.
Hivi lissu anavyotrend bashite asingelala.
 
Mkuu, hii sio American wala British English, ni chato english
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…