Pre GE2025 Video: Makonda ataka mdahalo na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Aa,atapigwa Mbowe au Makonda so far hakuna anayejua.Kwa nini tuandikie mate,mdahalo uandaliwe.
 
Bashite kwanza huna hadhi ya kukaa meza moja na Lissu, pili jisafishe ukiwa huko huko kama si wewe uliyemtwanga ma-risasi na kumpoteza Ben 8 duniani.
 
Waje wote yeye hatasumbua chama atakuja mwenyewe. Hahaha.
 
Hapana! Mimi ni baba yako wa kufikia.
hv baba au mama ni nani?? Mana nimezaliwa maabara ningependa kujua, pili chadema msikwepe hoja za msing msiwe kama ccm mmeambiwa mwamba anataka mdahalo, nyie mmeanza kumtetea lisu ooh sio level zake sijui nn ndio mana nimewauliza nyinyi ndio tundulisu mpaka mjibu mbona yeye yupo si angejibu yeye huyo lissu mbona mnaviherehere
 
Ivi anamjua Tundulisu huyu😂😂😂 watu wanamdhaha sana.
Niombe nikushauri Mh Makondo fanya mdahalo lakin sio Hadharani,
Anaweza kufanya mdahalo walau kwa mbali ni Polepole tu
 
Hahahaha....ila hii nchi full of dramas ...nabisha sana huyu Bashite dakika moja tuu kwenye mdahalo na Mh Lissu atakuwa ameshapigwa K.O
Midahalo ni kw wenye upeo wa kuona mbali - level kali. Bashite atajiharibia kibarua, hajafikia hiyo level ambayo hata wasomi kina Cleopa Msy wamekiri kuwa ni high stds. Tena anasema atakuja peke yake...!! Bashite anaXana na Tundu...! Kweli...!! Ngoja tuone. Dah!
 
Kwani kwa miaka mingi chadema si wamekua wakisema eti ccm inaogopa midahalo ya wazi,haya sasa mtu huyo kapatikana pelekeni watu wenu mkabishane kwa hoja,nyie si mnajiona mna hoja nzito
Ni kudhalilisha chama na viongozi wa chama, tukutane 24, na mfagio na dekio ,sabuni ya unga , na dum la maji ,mapema sana 24 naanza na usafi kwenye ofisi yake , na viatu nitamblashia yani , maana haijui dunia
 
Mtakachoenda kuongea majukwaani itakua ni skendo za kisiasa tu coz mtu kawaambia njooni tufanye mdahalo wananchi wasikilize sera na hoja hamtaki bali mnataka muendelee kumchafua Kama kawaida yenu bila hoja za maana.
 
Hivi nyie ccm mnadhani mnasaidia mwenyekiti wenu, kama sio kumuumiza kwa mgongo wa uchawa,kisa maokoto hamna lolote bora wapinzani wa kweli kama chadema wanamwambia ukweli
 
Hivi nyie ccm mnadhani mnasaidia mwenyekiti wenu, kama sio kumuumiza kwa mgongo wa uchawa,kisa maokoto hamna lolote bora wapinzani wa kweli kama chadema wanamwambia ukweli
Kwani nyie tangu lini mmemwambia ukweli mwenyekiti wenu mbowe?
 
Makonda huyu labda afanye mdahalo na Kingwendu ndiyo saizi yake. Anafikiri ukubwa wa makalio ndiyo wingi wa akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…