Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake


Hiyo tarehe ni wamebackdate tu bwana mbona rahisi kujua who was makonda 2013 mpaka kupewa?!
 

Hata ukiandika bei ya uwongo muda wa kubadili jina la umiliki lazima ulipe kodi na serikali hukipa thamani yake yeye ..
Kiufupi makonda na hao wenzie wali backdate hayo manunuzi yao....
Na makonda kapigwa na kitu kizito na hao waarabu mikataba fake bila kujua[emoji23][emoji23]
 
Mimi sio fani wa bashite Lakini ngoja niulize,"Kwanini GSM asiende mahakamani,sheria ndio iamue?",Hili nchi huongozwa Kwa utawala wa sheria,hatupo Somalia au Sudan kusini ambako mifumo ya sheria Bado ni dhaifu🤔
 
Angalia wasifu wa Learned brother, Ameanza Kuwa Active Jan 1, 2020.
.
Swali la Kujiuliza ni Kwamba Kama amekuwa active kama wakili kuanzia Jan 2020, ilikuwaje akasaini Sell Agreement 2013.
.
Kuwa active maana yake amehuisha Seal Yake Kwa kulipa ada TLS, Mahakamani na ada zingine.
.
Je itakuwa Learned brother alisaini Mkataba akiwa ni Mtumishi wa Umma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sio fani wa bashite Lakini ngoja niulize,"Kwanini GSM asiende mahakamani,sheria ndio iamue?",Hili nchi huongozwa Kwa utawala wa sheria,hatupo Somalia au Sudan kusini ambako mifumo ya sheria Bado ni dhaifu[emoji848]

Hapo wamekutana majambazi wawili mmoja kapigwa kwa ushamba wake..
Hamna wa kwenda mahakamani hapo wote wanajuana walivyopeana hicho kiwanja kwa ujanja ujanja atakae poteza hapo ni makonda kukubali kusign mikataba fake ya umiliki bila kujua so akijaribu kwenda mahakamani kudai ataonekana hiyo mikataba fake kutokana na hiyo mihuri kua chini ya picha so yanaweza kumkuta makubwa zaidi ya hayo
 
duh, hapo patamu. kumbe wakili msomi huyu ndio alikuwa active tangu 2013 au 2020, what and what, sasa ikionekana hivyo si ataikana hiyo mihuri na bashite ataonekana kagushi hiyo saini? kwani nyaraka zilizopelekwa kule ardhi kufanya transfer zinaonyesha tarehe gani? zipo? kama wamebackdate akamatwe mara moja, huyu wakili ni shahidi mzuri wa jamhuri.
 
Chupli chupli mwisho wa siku njia ya muongo ni fupi
 


Ona hiyo ndio utajua mkuu wenu wa mkoa alichezewa shere bila kujua na ushamba wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…