Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Mkuu ammoshi , kwenye mauziano mengi ya land, na hata Nagari ya thamani kubwa, watu wanafanya deflate the price ili walipe transfer fee ndogo. Hiyo figure inayoonekana hapo sio the real price, hiyo ni just a visible cost, lakini the real cost ni nyingine. Michezo hii serikali yetu inainua na tunaicheza at government level, mfano mzuri ni ununuzi wa jengo la ubalozi wetu Rome, tumelipa mara mbili, kwanza tumelipa the visible cost, malipo yanayoonekana na kukatiwa receipt na kulipwa through bank account ya ubalozi, ambayo ndio yatalipiwa Kodi.

Kisha malipo halisi, yanayolipwa cash from personal account ambayo hayaonekani, hayajaandikwa na hayalipiwi Kodi na hakuna receipt ya mpokeaji. Ambapo fedha ziliingizwa kwenye account personal ya Balozi, na yeye kuzi withdraw na kulipa cash.

CAG alipogagua, akadhani Balozi amepiga, na kwa sababu kuliisha tokea ugomvi wa kugombea naniliu, Mzee Baba wa wakati huo, akampeleka kwa pilato, kama Amatius Liyumba, alivyo shughulikiwa ni ...

P
Kwa hiyo ndio theory iliyokua nyuma ya kesi ya Profesa Mahalu? Hata state house ilihusika? Kwa hivi hatuwezi kuwekewa sanctions? Maana hii ni state corruption. We at at fault with all the international laws and regulations. Kwa kesi hii Makonda ameliwa. Halafu under normal circumstances he cant construct a house that big with the meager salary of a civil cervant. Hata maraisi inabidi wajengewe na serikali maana ni near impossible
 
Angalia wasifu wa Learned brother, Ameanza Kuwa Active Jan 1, 2020.
.
Swali la Kujiuliza ni Kwamba Kama amekuwa active kama wakili kuanzia Jan 2020, ilikuwaje akasaini Sell Agreement 2013.
.
Kuwa active maana yake amehuisha Seal Yake Kwa kulipa ada TLS, Mahakamani na ada zingine.
.
Je itakuwa Learned brother alisaini Mkataba akiwa ni Mtumishi wa Umma? View attachment 2147755View attachment 2147756

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua when you are a thief you should atleast be clever enough to ask yourself some tough questions like the one I asked. Je, huyo mtu alikua anapractice that year? Kwa sababu kupata ushahidi ni easy. Wakili leta vyeti vyako, hapa vinaonekana umevipata 2020 how did you sign a document in 2013 when you were still learning?
 
Katika watu wenye biashara za ujanja ujanja basi ni huyu GSM na watu hii kampuni imemuweka Ghalib kama msimamizi tu lakini wenye hisa wamefichwa kwenye uvungu wa kitanda. Hii kampuni akiingia Rais asiyetaka mianya ya Rushwa basi GSM inaenda kutaifishwa iwe Mali ya umma maana biashara zote wanazofanya ni uwizi mtupu.

GSM ni muhuni sana alipoona swala la kiwanja walichouziana na Paul makonda tena mnamo mwaka 2013 makonda hajawa hata kiongozi wa serikalini, ametafuta wanasheria wenye njaa kuunda ushahidi wa michongo na kwa kuwa asilimia kubwa ya hii kampuni inakaliwa na former top government leaders kutoa amri wizara ya ardhi ifoji nyaraka ni kitu cha sekunde tu. Chuki ni mbaya Sana huyu makonda wanaomfanyia hizi hila ni wale waliosema ngoja afe tuone Nani atamtetea.

Uongozi wa Paul makonda ulikuwa ni wakiimra na kutojali misingi bora ya utumishi wa umma lakini Hili haliharalishi yeye kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi hata kama ni Mali yake kihalali na kafata taratibu zote za kisheria za Hati miliki. Kuna watu wanafrahi kuona huyu dogo analialia bila msaada lakini tujue kuwa nani yupo salama Kati yetu kama mifumo kandamizi bado ipo kila kukicha? Jibu nikuwa hakuna aliye safe maana ipo siku yatakukuta halafu utakuja mbele ya midia unafuka makamasi unaomba tupaze sauti.

HITIMISHO. Kampuni ya GSM sio ya waarabu, niyaviongozi matapeli wala rushwa na wenye ubinafsi na tamaa ya mali huyu mwalabu ni kivuli tu mwili umejificha. Makonda ameporwa kwa Chuki zao binafsi kipindi cha uongozi wa mwendazake. View attachment 2147863View attachment 2147865
Mwenzio hati yake OG iko mkono wa shati leta yako na wewe.
 
Makonda alilazimisha maafisa ardhi wampe jalada la hiyo plot, akascan picha na akatafuta wataalamu wa kighushi saini za ghalib, ndio maana kuna Afisa ardhi aliyemgomea alimuitishia mkutano, akamtukana mpaka akazimia
 
Dar es Salaam. Wakati Wakili wa mfanyabiashara maarufu nchini, Ghalib Said Mohamed (GSM), Alex Mgongolwa ameweka wazi vielelezo vya umiliki wa eneo kiwanja namba 60 lililopo Regent Estate Kinondoni jijini hapa, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amemtaka mfanyabiashara huyo kumwachia mali yake.

Mzozo wa kiwanja hicho umeibuka hivi karibuni, ambapo Makonda ameonekana katika video iliyorushwa kwenye mitandao ya kijamii akisisitiza kuwa eneo hilo ni lake.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Machi 12, 2022 jijini hapa Wakili Mgongolwa amemtaka mtu ambaye hakumtaja kwa jina, kuweka wazi vielelezo alivyonavyo vya umiliki wa eneo hilo na vielelezo kutoka Wizara ya Ardhi vinavyompa uhalali wa kulimiliki.

Hata hivyo, Makonda alipotafutwa kwa simu leo, amejibu kwa ujumbe wa WhatsApp, akisema; “GSM usinilazimishe kusema uozo wako achia mali yangu. Walioko nyuma yako nawajua.”

Kama hiyo haitoshi, katika ukurasa wake wa Instagram, Makonda aliweka video ya Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Shaka Hamdu Shaka ambayo pamoja na mengine alieleza haja ya kutaka Jeshi la Polisi kuchunguzwa, kisha akaweka ujumbe:

“Naunga mkono hoja ya Kamati Kuu, ya kuchunguza mwenendo wa baadhi ya maafisa wa Jeshi la Polisi, wanaolipaka tope Jeshi la Jolisi kwa kuwalinda wafanyabiashara MATAPELI wanaodhulumu mali za watu. Naomba tuanze na Dar es salaam na mimi Paul Makonda niko tayari kutoa ushirikianao
 
Madai ya GSM

Akifafanua zaidi kuhusu umiliki wa ardhi hiyo, Wakili Mgongolwa amesema, mteja wake Ghalib Said Mohamed alinunua ardhi wilaya ya Kinondoni, eneo la Regent Estate plot no. 60, title no. 186153/60, kwa lengo la ujenzi wa makazi Novemba 21, 2006."

Vilevile, Mgongolwa amesema Septemba 2017, mteja wake aliingia mkataba na kampuni ya ujenzi iitwayo Group Six International (Contract Class One) kwa ajili ya ujenzi wa eneo hilo wenye thamani ya Sh640 milioni.

"Ghalib aliomba kibali cha ujenzi na manispaa ya Kinondoni walitoa kibali hicho Oktoba 16, 2017 chenye kumbukumbu namba 00020032 kwa Ghalib Said Mohammed kwa ajili ya ujenzi eneo hilo," amesema.

Ameongeza kuwa baada ya kibali hicho kutoka, Group Six walianza ujenzi na walipeleka malipo ya awali ya ujenzi Januari 31, 2018 huku mteja wake huyo akitekeleza sehemu ya mkataba kwa kulipa kiasi cha Sh51.92 milioni, malipo ambayo yana kithibitisho kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA).

Kuhusu mteja wake kuwa na uhusiano wa karibu na mlalamikaji, alisema, "mteja wangu na mtu ambaye kwenye mitandao amekuwa akizungumza kwamba anamiliki eneo hilo, mteja wangu katika kipindi anachozungumza huyo mtu cha mwaka 2012 alikuwa hamfahamu kabisa huyo mtu."

"Mimi leo nathibitisha uhalali wa miliki, unaweza ukawa na uhusiano na mtu lakini sio wa kibiashara wa kuuziana na kuhamishiana miliki licha ya kuingia katika makubaliano ya kuhamishiana miliki,"

Mgongolwa alisema kufahamiana na mtu ni jambo lingine na miliki ni jambo lingine, hivyo ushahidi wa vielelezo kisheria unakingwa na vielelezo hivyo, ambaye anasema ni eneo lake aweke wazi vielelezo vya kisheria.

"Tunatoa changamoto kwa mtu yoyote yule aje akinzane na vielelezo vyetu, huu ni ujenzi kwa mujibu wa mkataba na haujasimamiwa na mjomba au shangazi," amesema Mgongolwa.

Alisema yeye yuko radhi kumsikiliza ili wakapambane, alisema kama kuna mtu anadhani anayo haki katika umiliki huo, lakini kwa sasa hawatafanya chochote na endapo ataendelea na matukio hayo hivyo basi ngazi za kisheria zitafuatwa.

"Hata tunaondokana na hisia tunaenda na uhalisia, yoyote yule anayesema aridhi ni ya kwake iwe kimahusiano au lah, aje na vielelezo kwetu, mtu mwenye dhana tofauti milango ya kimahakama iko wazi, ila kwa sasa hawatakwenda mahakamani," amesema Mgongolwa na kuongeza kuwa wajibu wangu kama mwanasheria ni kuthibitisha umiliki halali kwa mteja wangu.

"Hatua tutakazozichukua kuanzia sasa itategemea na matukio ambayo yatafuata kwani ndiyo yatatupa mwongozo wa nini tukifanye, ikitokea hatua ya kwenda mahakamani tutakwenda, ikitokea kuangalia ngazi nyingine tutalipeleka kwa kuwa maelekezo yetu yako wazi tunatakiwa kulinda haki ya teja wetu sambamba na jina lake," amesema.
 
Katika watu wenye biashara za ujanja ujanja basi ni huyu GSM na watu hii kampuni imemuweka Ghalib kama msimamizi tu lakini wenye hisa wamefichwa kwenye uvungu wa kitanda. Hii kampuni akiingia Rais asiyetaka mianya ya Rushwa basi GSM inaenda kutaifishwa iwe Mali ya umma maana biashara zote wanazofanya ni uwizi mtupu.

GSM ni muhuni sana alipoona swala la kiwanja walichouziana na Paul makonda tena mnamo mwaka 2013 makonda hajawa hata kiongozi wa serikalini, ametafuta wanasheria wenye njaa kuunda ushahidi wa michongo na kwa kuwa asilimia kubwa ya hii kampuni inakaliwa na former top government leaders kutoa amri wizara ya ardhi ifoji nyaraka ni kitu cha sekunde tu. Chuki ni mbaya Sana huyu makonda wanaomfanyia hizi hila ni wale waliosema ngoja afe tuone Nani atamtetea.

Uongozi wa Paul makonda ulikuwa ni wakiimra na kutojali misingi bora ya utumishi wa umma lakini Hili haliharalishi yeye kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi hata kama ni Mali yake kihalali na kafata taratibu zote za kisheria za Hati miliki. Kuna watu wanafrahi kuona huyu dogo analialia bila msaada lakini tujue kuwa nani yupo salama Kati yetu kama mifumo kandamizi bado ipo kila kukicha? Jibu nikuwa hakuna aliye safe maana ipo siku yatakukuta halafu utakuja mbele ya midia unafuka makamasi unaomba tupaze sauti.

HITIMISHO. Kampuni ya GSM sio ya waarabu, niyaviongozi matapeli wala rushwa na wenye ubinafsi na tamaa ya mali huyu mwalabu ni kivuli tu mwili umejificha. Makonda ameporwa kwa Chuki zao binafsi kipindi cha uongozi wa mwendazake. View attachment 2147863View attachment 2147865
Unamtetea mwizi mwenzio
 
M
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.
Makonda awe raisi wa hii nchi..? Mmmhh hahahah hii nchi tupate katiba mpya tu maana uozo ni mwingi
 
Feels good, doesn’t it?

Next time douche that butthole.

You stink.
Usiite watu makapuku huku hujui wameanzia wapi, kwasababu kila binadamu anapokuja Duniani, anakuja with nothing, na ataondoka with nothing, hivyo kupata Mali, utajiri, umaarufu ni akili ya mtu na sio lazima, iwe ni Mali ya urithi. Paul Makonda, sio tuu ni kijana mwenye akili Sana, pia ni mtu mwenye bahati.

P
Paschal

Kuna watu agahalabu siyo wengi, wanazaliwa kwenye mazingira ya utajiri wa kutisha from day one, in fact, hata kabla hawajazaliwa na pengine namna mimba yao inavyotungwa kupitia pandikizi sababu ya ukwasi wa Wazazi wao. Prince Charles hakuzaliwa hana kitu duniani.
 
Katika watu wenye biashara za ujanja ujanja basi ni huyu GSM na watu hii kampuni imemuweka Ghalib kama msimamizi tu lakini wenye hisa wamefichwa kwenye uvungu wa kitanda. Hii kampuni akiingia Rais asiyetaka mianya ya Rushwa basi GSM inaenda kutaifishwa iwe Mali ya umma maana biashara zote wanazofanya ni uwizi mtupu.

GSM ni muhuni sana alipoona swala la kiwanja walichouziana na Paul makonda tena mnamo mwaka 2013 makonda hajawa hata kiongozi wa serikalini, ametafuta wanasheria wenye njaa kuunda ushahidi wa michongo na kwa kuwa asilimia kubwa ya hii kampuni inakaliwa na former top government leaders kutoa amri wizara ya ardhi ifoji nyaraka ni kitu cha sekunde tu. Chuki ni mbaya Sana huyu makonda wanaomfanyia hizi hila ni wale waliosema ngoja afe tuone Nani atamtetea.

Uongozi wa Paul makonda ulikuwa ni wakiimra na kutojali misingi bora ya utumishi wa umma lakini Hili haliharalishi yeye kutokuwa na haki ya kumiliki ardhi hata kama ni Mali yake kihalali na kafata taratibu zote za kisheria za Hati miliki. Kuna watu wanafrahi kuona huyu dogo analialia bila msaada lakini tujue kuwa nani yupo salama Kati yetu kama mifumo kandamizi bado ipo kila kukicha? Jibu nikuwa hakuna aliye safe maana ipo siku yatakukuta halafu utakuja mbele ya midia unafuka makamasi unaomba tupaze sauti.

HITIMISHO. Kampuni ya GSM sio ya waarabu, niyaviongozi matapeli wala rushwa na wenye ubinafsi na tamaa ya mali huyu mwalabu ni kivuli tu mwili umejificha. Makonda ameporwa kwa Chuki zao binafsi kipindi cha uongozi wa mwendazake. View attachment 2147863View attachment 2147865
Utapeli wa GSM hauondoi ukweli kwamba Makonda hapa kagushi hivi vitu. Land registry imelipiwa na Gharib mwaka 2017. Why? Hapa tunajadili jinai moja tu, ya kiwanja. Ikifika ya umiliki wa Home Shopping Centre na GSM tutajibu kivingine.
 
Paschal

Kuna watu agahalabu siyo wengi, wanazaliwa kwenye mazingira ya utajiri wa kutisha from day one, in fact, hata kabla hawajazaliwa na pengine namna mimba yao inavyotungwa kupitia pamdikizi sababu ya ukwasi wa Wazazi wao. Prince Charles hakuzaliwa hana kitu duniani.
We bwegeee kwa nini umenikwoti na mimi?

You probably want some dyck that’s why 🖕🖕
 
Back
Top Bottom