Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Hivi Makonda hana watu wa kumshauri kweli anafanya Nini TANZANIA ? Kuna watu wana matumaini ambayo ni infeasible. Kurefer ya sabaya Makonda alitakiwa ahame nchi siku nyingi sana.
Hana watu genuine wa kumpa positive advice. Akiwa na madaraka alizungukwa na marafiki wa masilahi na siyo marafiki wa kweli. Na bahati mbaya yeye hakujaaliwa akili kuchwani
 
Kwenye ushirikina ndiyo umegonga penyewe, unakuta mtu ni hiyo taalumu wala huo uwezo hana ila taaluma akipewa hiyo nafasi roho inauma hapo ndiyo huwa siwaelewi watu na urozi huanzia hapo.
 
Kijana wa mzirankende atulie. Akomae spate haki zake.

Ila najiuliza watumishi wengine wa umma huwa wanashidwaji kuwa entrepreneur s kupata Pesa za kujenga mahekalu kama wakina Bashite.
Wengi hutandaza vimada na michepuko sasa mwenzao akitulia nakufanya mambo makubwa basi ni kosa
 
Nilichogundua watanzania mna roho mbaya sana sana,

Hasa hasa kwa mtu anayehustle kunyanyuka.
Hii yote ni umasikini uliowajaa.
 
Nilichogundua watanzania mna roho mbaya sana sana,

Hasa hasa kwa mtu anayehustle kunyanyuka.
Hii yote ni umasikini uliowajaa.
Kweli roho mbaya ipo tena kubwa mno, unakuta mtu yeye mwenyewe anaishi mjini kwa madili machafu lakini anavyochafua wengine sasa anaweza kesha bila kulala
 

Umemaliza yote mkuu πŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œβ˜οΈβ˜οΈβ˜οΈβ˜οΈπŸ™πŸ™πŸ™πŸ€πŸ€πŸ€πŸ˜
 
bashite alifeli shule, alishawahi kuwa conductor wa bus, hana hata vyeti, alipata wapi hela ya kununua kiwanja mikocheni? tena kwa tajiri mkubwa kama GSM? au alikuwa anapewa au kujengewa nyumba kwa makubaliano gani? hapo napo anatakiwa afunguke ili aeleweke. alipata wapi pesa? na hajawahi kuwa mfanya biashara huyu.
 
inawezekana kabisa, walibackdae ili isionekane alinunua au kupora alipokuwa RC mwenye nguvu za kufukuza mtu kwenye mkoa wake. kwani miaka hiyo hana kazi ya maana alikuwa na connection gani na gsm, na alipata wapi hela ya kununulia au hata kujenga? na hajasema kama alijenga pale yeye. hizo ndio mambo za dili zinaishia kwenye dili. ukifanya mambo kiwiziwizi unatakiwa uzurumiwe kiwiziwizi. gsm kaona huyu popoma alinipora kiwanja lakini hakina hata jina lake na hakina explanation alinunuaje 2013, na sasaivi hana nguvu tena, akaamua kukirudia. kwisha habari yake. msukuma kaingizwa mjini na mtoto wa kariakoo.
 
Kadri nijuavyo, majitu ambayo hayana akili ya shule yamejaa ujanja ujanja, hila na utapeli wa kufa mtu. Huyu Bashite akibanwa kisawasawa atasema ukweli tu!! Watu warejee ile kampeni yake ya Madawa ya Kulevya.....kwake ilikuwa ni dealdone!
 
Kadri nijuavyo, majitu ambayo hayana akili ya shule yamejaa ujanja ujanja, hila na utapeli wa kufa mtu. Huyu Bashite akibanwa kisawasawa atasema ukweli tu!! Watu warejee ile kampeni yake ya Madawa ya Kulevya.....kwake ilikuwa ni dealdone!
ukilibana vizuri litaropoka au litakosa hoja za kuongea na kujikamatisha. hayanaga akili hayo.
 
Mshahara wa RC kwa mwezi ni Tsh 4 Million, bazazi anakwenda Arusha, Je ataendeleza tabia yake ya kupora mali za wafanyabiashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…