Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Video: Makonda yamkuta makubwa, Ghalib wa GSM adai nyumba yake

Kama serikali iliamua kumfungulia kesi za kutosha Sabaya sioni ni kwanini Makonda ambaye ni zaidi ya Sabaya serikali hiyo hiyo inapata kigugumizi cha kumfungulia kesi. Mbona ni swala rahisi sana ni kiasi tu cha kutangaza kuwa kila mwenye ushahidi awasilishe polisi au takukuru basi biashara imeisha. Ikitokea ushahidi haujitoshelezi basi aachiwe na mahakama imsafishe aachwe aendelee na maisha yake kama kawaida.

Lakini hii habari ya kuacha kila mtu aende binafsi kumdai Makonda naona kama linaichafua serikali na ni hatari kwa maisha ya Makona kwani sio wote watakaenda kudai mali zao kistaaarabu hasa ikitokea kama kweli kuna mtu ana madai halali halafu alidhulumiwa kibabe kwani kila mtu anajua yaliyokuwa yanatokea kipindi hicho.
Hebu jitose kama Kubenea
 
Kama kuna nyumba imejengwa mwenye nyumba ni mwenye hati ya kiwanja!! Kama Makonda anayo hati ya kiwanja nyumba ilipojengwa basi GSM walie tu!

Pengine iwe Makonda wamemcheza shere na kumpa hati fake ya kiwanja na wao wakabaki na hati original!!! Atakuwa amechambia mgomba; hao GSM ni majangili!!
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
GSM sidhani kama ni Msomali atakuwa ni Mwarabu
 
We nawe bora ungeweka tu hizo video bila hayo maandishi yako ya uwongo iko wp nyumbs ya kuzindua hapo hata kuisha haijaisha
Nenda kwenye suala la msingi haya madogo madogo ni mapungufu ya kawaida
 
Arudishe Nyumba huyo
endeleeni kuamini hivyo ni Mtanzania mwenzako.. Utanzania kwao ni kwaajili ya kupata unafuu kwenye dili zao...wakibaki wenyewe sio Watanzania na wanaukana kabisa.
Ushahidi please.
 
Ubaguzi wako nao hao mnaowatetea na kujiona watanzania wenzenu huku gizani wakiukana Utanzania na kuwafanya watanzania Wapagazi wao huku wakipambana kuwablack mail kwenye njia zote za uchumi....nyie mkibaki na vita zenu za CCM na CDM, SIMBA VS YANGA huku wao wakimwaga hela muendelee kulala usingizi..
Daaah naona kama unajishtukia hebu jiamini.
 
mtanzania mweusi anapambana na Makonda dhidi ya tajiri Msomali Gharib....

Huyu Gharib na GSM sidhani kama wana nguvu yeyote ya kumnyoshea kidole Makonda
Huu ni ukabulu, ishindwe na ulaaniwe kutumia factor za kibaguzi kuwajaji watu.
Kwanini usiwajadili Kama binadamu na sio kwa misingi ya race
 
Ubaguzi wako nao hao mnaowatetea na kujiona watanzania wenzenu huku gizani wakiukana Utanzania na kuwafanya watanzania Wapagazi wao huku wakipambana kuwablack mail kwenye njia zote za uchumi....nyie mkibaki na vita zenu za CCM na CDM, SIMBA VS YANGA huku wao wakimwaga hela muendelee kulala usingizi..
Acha ubaguzi ndugu.
 
Nadhani GSM kama wana akili waache kucheza michezo ya wanasiasa. Hakuna aliyejua Nape atakuja kuwa Waziri karibuni.

Makonda anaweza kuja kuwa Rais au Waziri na mwenye ma mlaka ndipo utakapoona GSM wanakimbia nchi.

Husiwatishe, hacha wadai nyumba Yao dhulma sio kitu kizuri . GSM chukueni vitu vyenu akija Kua waziri amieni Burundi hakujajaa
 
FB_IMG_1646926809448.jpg
 
Ukiona hivyo Basi walikuwa na vitu vya ovyo nyuma yao au walikuwa wanafanya ya ovyo. Huwezi kukubali kirahisi kufanya jambo kama Unajua huna cha kuficha.

Uwe msafi ama mchafu ukikataa kutoa walikua wanakutafutia case TRA , ukikaa na wateule wa Raisi wakuu wa Wilaya na Mikoa wanajisifia awamu iliyopita ndio ilikua awamu ya kutajirika kwa Kua wafanyabiashara wengi walikua wanamuogopa Jiwe
 
Huu ni ukabulu, ishindwe na ulaaniwe kutumia factor za kibaguzi kuwajaji watu.
Kwanini usiwajadili Kama binadamu na sio kwa misingi ya race

Mkuu mimi sio mbaguzi, nawachukia hawa watu kwasababu ya ubaguzi wao kwetu lakini kwenye macho ya wengi wanajifanya wema kinafiki huku wakijua kabisa gizani hawatupendi na wanatufinya kweli...Tuishi nao kwa akili saana..
 
Idi Amin alifukuza Wahindi, alikuwa sahihi...kwasasa hatupaswi kuwafukuza bali wanapaswa kujua hatuwaamini kama watanzania kuanzia Wahindi, Waarabu, Wazungu, Wasomali ...Hizi jamii hupaswi kuziamini pale zinapojinasibu kuwa raia hasa huku Africa...
 
Iddi Amini alikuwa ni mpuuzi tu kama wewe Mataga.
 
Ungejua nafasi aliyonayo bashite huko serikalini sasa hivi.........
Nimegundua wengi vingi hamjui, ndio maana nilisema Kubenea anapoteza muda
Brother kua na nafasi kubwa huko siri_kalini, ndio tubariki utapeli? Mhuni anatakiwa ateme vya wahuni.
 
Back
Top Bottom