Tumuombee dua Manara aweze kudumu kwwnye mahusiano hadi ndoaJana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa.
Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2876242
πΉ WasafiTv
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa.
Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao.
ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2876242
Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
Kuacha tabia za hovyo na kudumu kwenye mahusiano ni vitu 2 tofauti.Amen.
Wakati mkimuombea nayeye aache tabia za hovyo Mkuu.
Kwani hii sio kweli?Maigizo ufanye wewe Manara, dua uwaombe watazamaji wa maigizo yenu...shubamitiii
Kwani hii sio kweli?
πππNoma snTina kuna wapumbavu wanaamini hii ni ukweli watanipopoa π...