Video: Manara akimvisha pete Mchumba wake Zailyssa, amtoa machozi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa.

Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao.

ANGALIA VIDEO HAPA

Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv
 
View attachment 2876242

📹 WasafiTv
Tumuombee dua Manara aweze kudumu kwwnye mahusiano hadi ndoa
 
Jana ilikuwa siku kubwa kwenye safari ya penzi la Haji Manara na Zailyssa.

Manara alimvisha Pete ya uchumba mpenzi wake Zailyssa mbele ya umati wa watu walio hudhuria engagement party yao.

ANGALIA VIDEO HAPA
View attachment 2876242

Written by Mjanja M1
Video from WasafiTv

Maigizo ufanye wewe Manara, dua uwaombe watazamaji wa maigizo yenu...shubamitiii
 
Mbona hayuko romantic? Anasita kupiga goti, anauliza swali la msingi kwa lengo la kufurahisha hadhira.

Anyways, nimefurahishwa na huo wimbo aliokuwa akiuimba Nandy, na kaimba vizuri kuendana na tukio wahusika ndio wameharibu wenyewe.
 
Back
Top Bottom