Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Ina maana hata habari kutoka times of usrael pia ambalo ni shirika la habari la wazayuni pia unazipinga ,kweli manabii kama kiboko ya wachawi wapewe maua yao mmekuwa kama mazombi hamuoni wala hamsikii
 
Huu uzi mashoga wa JF hawausogelei, na anaeusogelea tu, utamjuwa, hawajifichi mashoiga zao wakiumbuliwa.
Kuna wakati ukiandika huwa nashangaa sana, waonekana ni mtu mwenye busara sema mazingira humfanya mtu kuongea vitu asivyokusudia.

Sikujui hunijui ila hayo ni maoni yangu
 

Vipi Pampers imekujaa mavi??
 
Kama imefikia hatua unabishana hadi na gazeti la israel basi hakuna kitu unaweza kuelewa mkatoliki kutoka ileje
 
Israeli construction to suffer under Turkey's economic sanctions
Hapo ndiyo wamepunguzapunguza,kwani wewe wajua nini,ikiwa ya nyumbani kwako gas mnazi bay wadai iliuzwa yote kwa mchina!?
Tatizo mnasoma bila kuelewa, hao wameandika ‘to suffer’ means wanapiga ramli. Kingine, hiyo 7% per cent is not everything kwao, bali ilikuwa ni kwa ajili ya mahusiano tu, Turkey akikata huo umeme Israel ataenda ku produce zaidi kwenye vyanzo vyake, Je Turkey ataupeleka wapi?
Kuna deals watu huingia ili tu kumfanya mwingine aione thamani yako kwake, siyo sababu una shida
 
Turkey hawahitaji chochote kutoka israel ndio maana wameamua kufuta biashara zote na israel ndio anaolalamika
Kama ulikuwa hujui israel anategemea sana viwanda vya turkey ,na turkey wala hategemei chochote kutoka israel maana ina viwanda vingi na imejitosheleza, na israel akisema aagize kutoka china au nchi nyingine red sea hapapitiki
 
Avha kujidanganya ili kufurahisha hisia zako.
 
Mtu anayejua dini na mungu anaweza kumwita binadamu mungu? Mtu anayejua dini anaweza kusema kuna mungu watatu?
Embu acheni mambo yenu
Wewe unajua kuhusu habari israel kuliko waisrael wenyewe ambao wanamiliki times of israel
 
Ndiyo nimekwambia kwamba hiyo haitawasumbua kama unavyodhani na kutamani, Turkey atapiteza soko but Israel ata recover faster sababu kwake hizo biashara ilikuwa si kwasababu kashindwa kuzitengeneza au kupata kwingine, bali ilikuwa ni kuimarisha mahusiano kati yao na kujenga thamani ya mahusiano.
 
Mtu anayejua dini na mungu anaweza kumwita binadamu mungu? Mtu anayejua dini anaweza kusema kuna mungu watatu?
Embu acheni mambo yenu
Wewe unajua kuhusu habari israel kuliko waisrael wenyewe ambao wanamiliki times of israel
Nakwambia hivi achana na Wakatoliki hao siyo size yako kabisa. Ongerea masuala yako mengine hao achana wao. Katoliki ni sehemu ya wakristo lakini lina waumini ambao ni nusu ya idadi wa waumini wa kiislamu dunia nzima.
Huna elimu ya kuwaelewa wakatoliki endelea na chuki na makasiriko yako kwa wayahudi.
 
hizo ni imani siyo facts, the fact is israel anategemea viwanda vya turkey kwenye mahitaji yake ya kila siku, na hayo yamesemwa na waisrael wenyewe kupitia chombo chao cha habari, sasa wewe wa ileje unaingiza hisia, hapo ndio tatizo lilipo
 
Hawa hawa waliopinga dp world kwa kusema inaeneza uislamu ndio unasema wana akili ,
Na kuhusu waumini unajua kwamba hata wazungu sasahivi wanaachana na ukristo kwa kasi na by 2050 uislamu ndio utakuwa world leading religion au hujui hata hili
 
hapo sasa umeongea kama msomi ila sasa turkey ana uwezo wa kuuza bidhaa zake dunia nzima, ila israel sasahivi yupo vitani na hana ushawishi wa kuuza bidhaa zake au kuimport kutoka nchi nyingine maana kuna subortagr nyingi baharini kutokana na vita
Israel ataweza kurecover vita ikiisha na akifanikiwa kunormalize relationship na jirani zake na dunia kwa ujumla,maana kuna boycotts na mambo mengi kutokana na vita yake na palestine
 
Hawa hawa waliopinga dp world kwa kusema inaeneza uislamu ndio unasema wana akili ,
Na kuhusu waumini unajua kwamba hata wazungu sasahivi wanaachana na ukristo kwa kasi na by 2050 uislamu ndio utakuwa world leading religion au hujui hata hili
Wazungu wapi wanajiunga na uislamu? Hujaona maandamano ya Uingereza juzi walivyochoma misikiti? Hiyo inaonesha ni kwa namna gani uislamu haupendwi kwa wazungu.
Ni hivi waislamu ndo wanaongezeoa ulaya na siyo kwamba wazungu ndo wanakuwa waislamu.
Kwa taarifa yako tu nchi nyingi za Ulaya sikukuu za kiislamu zote hazitambuliwi kama public holiday. Endeleeni kujidanganya na kukurupuka.

Wazungu wanaachana na dini ila hawajiungi na uislamu.
 
Wale ni vibaka tu hukuona wqnavunja maduka na kuiba , nchi yoyote haikosi tabaka la watu masikini amablo wanaona wahamiaji ndi chanzo cha umasikini wao na si unaona wengi wameishia jela tena mahakama uingereza zinafanya kazi 24hrs kudeal na kuwahukumu faster, ulaya na marekani sasahivi wazungu wengi tena makundi kwa makundi wanaingia uislamu
Hadi kiongozi wa catholic christian party ya germany amesema hatoshangaa akiona muislamu anakuwa kiongozi wa chama hicho kutokana na yanayoendelea ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…