Video: Marekani na IDF ilifanya operesheni iliyofeli Yemen na Wanajeshi 70 waliuawa

Hiyo haikuwa hoja husika
 
Kwa
Pole sana
 
Hivi mfano wewe watu wakisema uandamane utaandamana ,siku zote wanaoandamana ni choka mbaya na waliopoteza matumaini
 
Attachments

  • Screenshot_20240810-223812_Chrome.jpg
    454.4 KB · Views: 1
hizo ni imani siyo facts, the fact is israel anategemea viwanda vya turkey kwenye mahitaji yake ya kila siku, na hayo yamesemwa na waisrael wenyewe kupitia chombo chao cha habari, sasa wewe wa ileje unaingiza hisia, hapo ndio tatizo lilipo
Kwamba Israel hawezi kutengeneza makaratasi au kuzalisha umeme? Hiyo 93% nyingine ya umeme anaitoa wapi?
 
Kuna wakati ukiandika huwa nashangaa sana, waonekana ni mtu mwenye busara sema mazingira humfanya mtu kuongea vitu asivyokusudia.

Sikujui hunijui ila hayo ni maoni yangu
Wewe ongea upendavyo, kama ulivyosema "hunijuwi sikujuwi" huo ndiyo ukweli.

Au ndiyo walewale, limekupata?
 
Mbona unachuki hivyo na waisrael? Walikufanya nini?
Ni punguani peke yake ndiyo hawezi kuwachukia Waisrale yaani watu wanauwa watoto zaidi ya 15.000 na wanawake wanapiga mabomu shule unataka watu wawapende? Labda mashoga peke yake na mapunguani ndiyo wataendelea kuwapenda.
 
Hiyo chuki muelekeze kwa hamas inayotumia raia kama ngao wakati wa vita.
Hamas wanashambulia halafu wanaenda kujificha nyuma ya kina mama.
 
Mbona Hao maiti kama ni waarabu, naona kwa nyuma kuna pickup pia imepigwa Bomu
 
Wewe mlokole mbona muongo JF siyo sehemu ya porojo mnavyodanganywa na Mwaposa mnadhani kila mtu mtandanganya unaandika uharo bila ushihidi wowote. Weka data kama hivi.

The Israeli Defense Ministry has extended a contract with Dorad Energy, a power plant partially owned by a Turkish businessman with close ties to Turkish Presid… Source: Turkish Minute Erdoğan crony owns 25 pct of Israeli power plant supplying IDF: report - Turkish Minute
 
Mashenzi etc alahamdulilahi

Magaidi makubwa

Naomba Israel ifanye kweli imwage sumu haya mahayawaoni yasiyo na Mungu yafe yote
 
Hiyo chuki muelekeze kwa hamas inayotumia raia kama ngao wakati wa vita.
Hamas wanashambulia halafu wanaenda kujificha nyuma ya kina mama.
Propaganda za kishoga hizo zimeishapitwa kwa hiyo Hamas wanatumia watoto kama ngao mabomu yakirushwa yanawachagua watoto na kuwacha Hamas?

Wewe lazima utakuwa Upinde🌈
 
Hiyo ndio itakuwa fundisho la la Marekani na israil wasijaribu kwenda kupigana na Wa-hoothi watakufa sana .
 
Hiyo ndio itakuwa fundisho la la Marekani na israil wasijaribu kwenda kupigana na Wa-hoothi watakufa sana .
Marekani na Israel vita vya ardhini hawezi kabisa kuna majinga humu JF uwa yanaamini Marekani na Israel hawawezi kupigwa, wanasema hawa Yemen masikini wana njaa angalia walichowafanya.
 
Propaganda za kishoga hizo zimeishapitwa kwa hiyo Hamas wanatumia watoto kama ngao mabomu yakirushwa yanawachagua watoto na kuwacha Hamas?

Wewe lazima utakuwa Upinde🌈
Wakiendea kutumia raia wa palestina kama human shield watashughulikiwa bila huruma
 
Attachments

  • IMG_4312.jpeg
    1.1 MB · Views: 1
Marekani na Israel vita vya ardhini hawezi kabisa kuna majinga humu JF uwa yanaamini Marekani na Israel hawawezi kupigwa, wanasema hawa Yemen masikini wana njaa angalia walichowafanya.
Ingekuwa hawawezi ground offensive wasingeifanya gaza vile ilivyo sasa hivi
 
Ni punguani peke yake ndiyo hawezi kuwachukia Waisrale yaani watu wanauwa watoto zaidi ya 15.000 na wanawake wanapiga mabomu shule unataka watu wawapende? Labda mashoga peke yake na mapunguani ndiyo wataendelea kuwapenda.

Tena Palestina wapigwe mchana usiku, Mfalme Daudi akirudi atawashangaa wanavyopiga polepole
 
Ingekuwa hawawezi ground offensive wasingeifanya gaza vile ilivyo sasa hivi
Gaza kila wakishuka wanauliwa Gaza hawapigani vita vya ardhini wanapiga mabomu kwa ndege na drone.

Ni aibu Jeshi la Israel lina kila kitu na bado linapata msaada kutoka Marekani na Ulaya pesa na silaha wakati Hamas wana makombora ya kienyeji yakutengeneza Tabata ya Gaza hiyo Gaza yenyewe inazidiwa na Kigamboni mpaka sasa hawa mabwana zenu wamepoteza zaidi ya Wanajeshi 10.000 wanamgambo wa Hamas hawazidi hata 30.000 wewe upo Makete hujui kinachotokea Gaza.

Mabwana zako wanasema wamaishika Gaza yote lakini hawajui mateka walipo.

Wamebakia kushambulia shule na hospitali wakisema Hamas wanaficha silaha wakiambiwa walete ushahidi hawana, ndiyo maana jumuiya ya Ulaya wameamua kutoa pesa za misaada kwa Palestina baada ya kuona Israel wamechemka wanapewa kila kitu.
 
Wewe endelea kubwabwaja nyuma ya keyboard ni haki yako, ila magaidi hapo Gaza yanajua shughuli ya IDF pamoja na ShinBet.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…