VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

Mbowe atashinda uenyekiti bila shaka kabisa
 
Kwa waliosoma cuba hiyo imeendaaaaa.....
Yaani ogopa sana msimamo wa mwanamke ogopa sana nguvu ya mwanamke.
Lissu utatusamehe - wacha twende na Mwamba kwanza hii mitano.
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Wote wawili wanamchuano mkali kuelekea Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA unaotarajiwa kufanyika Januari 21.
Mbowe na Lissu wakicheza kwa furaha katika mkutano mkuu wa wanawake CHADEMA (BAWACHA)
Pia, Soma:
-
PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Kwa wimbo ni ujumbe tosha kabisa! Aliyeelewa kaelewa!
 
CCM waige demokrasi CDM.
 
Sijawahi unga mkono upande flani uyo mtu akashindwa ,

Mh Rais wa Kenya nilimuunga mkono ,akapasua .

Mh jiwe sikumuunga mkono japo alilazimisha,

Sasa namuunga Mkono mh lissu ,dalili zote zipo wazi ndie Mwenyekiti ajae , Mzee wangu Mbowe nampenda sana ,na chama kinamuhitaji bado ,ila sio katika nafsi ya Uwenyekiti
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

Wote wawili wanamchuano mkali kuelekea Uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti CHADEMA unaotarajiwa kufanyika Januari 21.
Mbowe na Lissu wakicheza kwa furaha katika mkutano mkuu wa wanawake CHADEMA (BAWACHA)
Pia, Soma:
-
PICHA: Mbowe, Lissu walivyokutana uso kwa uso kwenye Kikao cha Kamati Kuu Chadema
- Uzi maalumu wa matokeo Uchaguzi wa Baraza la Vijana (BAVICHA) na Baraza la Wazee (BAZECHA) na wanawake (BAWACHA) CHADEMA Taifa 2025
Yataka moyo, ama kweli Siasa si mchezo
 
Back
Top Bottom