Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

Video: Mchina apokea mkong'oto kutoka kwa waganda ndani ya Ethiopian Airlines ikiwa angani kwa kushukiwa kuwaibia pesa

Wamejuaje kama amewaibia?
Waafrika ni bingwa wa kuhisi na uzushi. Wakihisi chochote tu wanakilazimsha hadi inakuwa kweli. Kumbuka tu kule Dodoma waliwaua wataalam kwa kuwachoma moto kwenye gari eti wamewahisi ni wanyonya damu.
 
Nimewaza tu!
Mfano ndege nzima ingekua ni watu weupe isipokua huyo mwizi akawa ni mtu mweusi unafkir nn kingetokea?
Weusi wangehusianisha na ubaguzi,
pia kwa walivo na chuki angeshushwa wakiwa huko huko angani, cjui wangemshushaje lkn angeshushwa
 
Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?

MCHINA BAADA YA KIPIGO KIKALI KUTOKA KWA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
1657838254850.jpg
 
Nimewaza tu!
Mfano ndege nzima ingekua ni watu weupe isipokua huyo mwizi akawa ni mtu mweusi unafkir nn kingetokea?
Weusi wangehusianisha na ubaguzi,
pia kwa walivo na chuki angeshushwa wakiwa huko huko angani, cjui wangemshushaje lkn angeshushwa
Tukio kama hilo likitokea kwa watu weupe. Rubani ata make emergency landing na mtuhumiwa kukamatwa na polisi. Halafu hao waliompiga huyo mshukiwa nao watakamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa kuchukua sheria mkononi.
 
Hiyo imeharibu credibility ya hilo shirika, kuruhusu ugomvi ndani ya ndege.....
 
hizi ndege nazopigana vikumbe na watu weusi ndani huwa zinashida sana
 
Wapopo wapo kazini hapo mkuu, mchina sio mwizi wala nn!
 
Back
Top Bottom