Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
Mwafrika ni kiumbe ambacho hakikutakiwa kabisa kuwepo duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Mwafrika ni kiumbe ambacho hakikutakiwa kabisa kuwepo duniani
Waafrika ni bingwa wa kuhisi na uzushi. Wakihisi chochote tu wanakilazimsha hadi inakuwa kweli. Kumbuka tu kule Dodoma waliwaua wataalam kwa kuwachoma moto kwenye gari eti wamewahisi ni wanyonya damu.Wamejuaje kama amewaibia?
Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?
Unatukosea heshima kijana.Kuna ndege si za kupanda. Haya mambo huyakuti KLM au Emirates. Wahuni utawakuta Ethiopian, KQ au Flydubai
Wapopo ni weziUchunguzi ufanyika huenda Wanaijeria ndo wezi
Tukio kama hilo likitokea kwa watu weupe. Rubani ata make emergency landing na mtuhumiwa kukamatwa na polisi. Halafu hao waliompiga huyo mshukiwa nao watakamatwa na kufunguliwa mashtaka kwa kuchukua sheria mkononi.Nimewaza tu!
Mfano ndege nzima ingekua ni watu weupe isipokua huyo mwizi akawa ni mtu mweusi unafkir nn kingetokea?
Weusi wangehusianisha na ubaguzi,
pia kwa walivo na chuki angeshushwa wakiwa huko huko angani, cjui wangemshushaje lkn angeshushwa
Sijui kweli aliiba ama wanamsingizia wamuibie?