VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

Sasa hivi anatibiwa Mzena huku akilambwa Viboko kwanini kakitia Aibu kikosi cha PSU kwa kutokuwa Mkakamavu tukuka.
Of course Kuna maswali mengi sana ambayo kitengo Chao wote watapaswa kujibu (Hawa suti sio yule askari jeshi)
Kwa nni aliendelea kufanya kazi hata kama alikuwa anaumwa!?
Au lile ni skadi lilitumwa kwa mh yeye akalipokea kama sehemu ya ulinzi
 
Haumwi wala nini ukweli ni kwamba hicho Kikosi huwa Wanarogana sana hivyo ukute huyo hakuaga vyema huko Kwao.
ni kweli mkuu. siku moja sikuamini macho yangu nilivyo muona mlinzi wa magufuli kaja kwa mganga lushoto kuaguliwa uck. dah nikasema kumbe na hawa jamaa wamo. we acha tu hii dunia ione hivi hivi
 
Mlinzi wa rais sio askari wa kawaida kuna kozi maalumu anapitia mpaka awe Bodyguard wa Raisi.
Acha ubishi wa kiduanzi umesema bodyguard sio askari sasa hivi unasema ni askari ila sio askari wa kawaida issue niliyokufuata na kukupinga ni pale uliposema bodyguard sio askari nikakwambia tofauti yake na askari wa kawaida ni mafunzo, roles, duties & qualifications ila na yeye pia ni askari vile vile km walivyo askari wengine au neno askari linakuvuruga ubungo?
 
hali hio inamkuta yoyote tu. kuna saa mwili ghafla tu unajiona kama macho yanataka kuingia giza na kuanguka. sijaona cha ajabu ni kuchoka tu
 
Ni kama anaumwa,
Jinsi video inavomuonesha.
 
Toka mwanzo niliona jamaa ni mbishi, na haelewi, Hali kama ile hutokea kwa mtu yeyote!

Hata "SEAL" ambao inasemekana Wana mafunzo magumu na hatari zaidi Duniani, mambo kama hayo huwa yanawapata.

Afya ya mwanadamu ikiamua kubadilika, hakuna cha sijui ulipimwa au unamafunzo.
 

Yes
Iliwahi kumtokea Rais Mwinyi na Rais Kikwete pia wakati wa kampeni.

Uchovu, longstanding ni sehemu ya visababishi
Rais Mwinyi ilimtokea wapi? Kikwete ndio nilishuhudia pale Jangwani ; alipodondoka akakimbizwa Lugalo hospital pale Dr.Brig. Balele akamponya!
Baada ya kupona akamteua Brig. Balele kuwa mkuu wa Mkoa wa Shinyanga kama Ahsante yake!
 
Hata mimi nimeshangaa sana, DADA KAANZA MAWASILIANO MUDA MREFU NO RESPONSE ... THIS IS PATHETIC

Wanafanya kazi kimazowea, wanajua tutamaliza tuu, tutawanyike tuchukue posho. Wana la kujifunza kwa kisa hiki. Tungeshashusha bendera nusu mlingoti hapo kama kungekuwa na nia "ovu".
 
ni kweli mkuu. siku moja sikuamini macho yangu nilivyo muona mlinzi wa magufuli kaja kwa mganga lushoto kuaguliwa uck. dah nikasema kumbe na hawa jamaa wamo. we acha tu hii dunia ione hivi hivi
kwa afrika hilo sishangai.kurogana tena mana kupata nafas ile pale ina.mana posho unazilamba kama zote sasa kuna wengine hawapend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…