VIDEO: Mlinzi wa Rais Samia alivyotaka kudondoka wakati Rais akihutubia

TEAM NZIMA YA MA - BODYGUARD WAKISOMA LUGHA YA MWILI WA KILA ALIYE KARIBU NA RAIS OBAMA

Umakini wa mawasiliano siri kukitokea changamoto, rais Obama apelekewa ujumbe siri ofisa kuwa nyuma yake mwanamama lugha ya mwili wake anaonekana hayupo sawa, rais Obama anageuka


View: https://m.youtube.com/watch?v=CbSFw7NTneQ
Umakini na teamwork (ufanyaji kazi kama timu) uliweza kugundua lugha ya mwili (body language) ya kiwingu cha watu walio jirani ya rais na hatua zikachukuliwa kwa spidi kubwa ..
 
Duh...!.
P
 
Mkuu,

Usihitimishe nepotism kabla ya uchunguzi.

Fanya uchunguzi kwanza, thibitisha, halafu sema huyu mtoto wa fulani, kafanyiwa mpango kushika nafasi hiyo kiundugu hivi, ndiyo maana kapata.

Usije kumsingizia mtu mwenye uchovu wa kazi wa kawaida au njaa nepotism.
 
Ameact vyema sana Dada wa Watu.
 
Nadhani hii itakuwa ni habari feki nyingine,kwa leo Lissu ameanguka jukwaani Lindi.
Poppy wakati wa Mwalimu mambo kama haya yalikuwa yanatokea hayarekodiwi au hayakutokea?

Mtu wa mazoezi kama Ben Mashiba alikuwa anaweza kuweweseka hivi kweli kwa kusimama tu?

Kuna tatizo kwenye recruitment siku hizi au hii ni suala la kuwa human tu?
 
Hakuna mtu aliyepitia mafunzo anaweza kuanguka kizembe hivyo ? Maana wanafanya kazi kwa shift sio kuwa kila siku ni yeye. Na cha kuongezea wanaenda mafunzo magumu sana ndiyo maana nikasema ni nepotism. Hili swala halipo tu kwenye ulinzi mpaka katika sekta nyingi za serikali. Vitu vinafanyika mkuu wa Idara anapitisha na hajui amesign nini ? Yaani mpaka unajiuliza huyu amepata hiki cheo ?
 
Dalili mbaya sana hizi kwa majizi ya kura yaliyokubuhu.
 
Nepotism maana yaje ni kupendelea marafiki au ndugu.

Sasa hata ikiwa standards zimeshuka watu wanaajiriwa bila training kufuatiliwa, kwa nini hilo lazima liwe nepotism?

Haiwezekani watu wakakosa training kwa standards kushuka na watu kuwa wazembe tu bila nepotism?

Nepotism is a very specific charge ambayo ni upendeleo kwa marafiki na dugu. Sasa unahakikishaje kuna upendeleo wa kirafiki au kindugu hapa na si uzembe na kushuka kwa standards tu?

Na nimeuliza kama ni nepotism, huyu ni ndugu wa nani na kapendelewa na nani? Hujajibu.

Hapyo mambo ya standards za recruutment kudondoka tulinganishe sasa na zamani nimeuliza wanaoijua Ikulu watujuze zamani ilikuwaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…