Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Video: Mtanzania adaiwa kutekwa mchana kweupe huko Kibaha

Hapo ni matokeo yao unajijua mimi nani (Tusi), kwani wewe nani(Tusi), utanifanya nini (Tusi), shuka kama wewe mwanaume (Tusi)...

Kaingia Cha kike...


Cc: Mahondaw
speculation zako haziendani na nguvu iliyotumika.Tunatarajia wanausalama wetu wawe na uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia kuliko unavyodhani.

Unachokiongelea wewe ni sawa mtu mzima kubishana na mtoto kisha apandwe na hasira amzibue mtoto makofi kama anapigana na mtu mzima mwenzake.
 
Watanzania again, huyo kabaki peke yake hapo. Wanashindwa mkamata na ateswe aseme kisa cha kumteka, wanapompeleka? Hata simu yake kuikagua watu aliowasiliana nao, ingekuwa hatua nzuri ya kuanza nayo. Naona kingine, kutembea na silaha nowadays ni muhimu.
Uwe nayo Sasa au pangd!
 
Back
Top Bottom