Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Washkaji kazi za usiku hawataki tena?!? Kweli nchi imefunguka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo kwa akili yako michezo michafu ndo inaruhusu mtu akamatwe kama tupo CONGO.Boda kafanya michezo michafu huyo acheni kutetea mambo msiyoyajua.
Endekezeni ujinga mtakufa wengi..Kwahiyo kwa akili yako michezo michafu ndo inaruhudu mtu akamatwe kama tupo CONGO.
Kuna watu kwenye comment wanakwambia boda kafanya michezo michafu huyo kwahiyo anahaki ya kudakwa kama kumbikumbi😀😀😀Duh hii sio kidnapping ni adultnapping
Jamii inatakiwa istaarabike tujielewi.Akina Trump hakuna siku watatuheshimu kama mpaka leo tunaishi kisavage.Endekezeni ujinga mtakufa wengi..
Eti una scania,chuma chora Saba blog Aphad, mbele na nyuma.Jamaa “ Msaada msaada”
Anaechukua video: we tall toka
bongolalaKuna watu kwenye comment wanakwambia boda kafanya michezo michafu huyo kwahiyo anahaki ya kudakwa kama kumbikumbi
Hivi huko shule somo la uraia linaeleweka vizuri.Mijitu ya hii nchi ni mijinga to unemaginable extent
Kuna watu kwenye comment wanakwambia boda kafanya michezo michafu huyo kwahiyo anahaki ya kudakwa kama kumbikumbi😀😀😀
Hivi huko shule somo la uraia linaeleweka vizuri.Mijitu ya hii nchi ni mijinga to unemaginable extent😬😬😬
Pole yake,kuna haja ya wachina waje kutufundisha judo!Kiibaha Pwani
Kwanini Sheria isichukue mkondo?Boda kafanya michezo michafu huyo acheni kutetea mambo msiyoyajua. Vijana acheni tamaa ndio zinawaponzaga mfe mapema
speculation zako haziendani na nguvu iliyotumika.Tunatarajia wanausalama wetu wawe na uwezo mkubwa wa kudhibiti hisia kuliko unavyodhani.Hapo ni matokeo yao unajijua mimi nani (Tusi), kwani wewe nani(Tusi), utanifanya nini (Tusi), shuka kama wewe mwanaume (Tusi)...
Kaingia Cha kike...
Cc: Mahondaw
Uwe nayo Sasa au pangd!Watanzania again, huyo kabaki peke yake hapo. Wanashindwa mkamata na ateswe aseme kisa cha kumteka, wanapompeleka? Hata simu yake kuikagua watu aliowasiliana nao, ingekuwa hatua nzuri ya kuanza nayo. Naona kingine, kutembea na silaha nowadays ni muhimu.