Video na picha za kinachoendelea maandamano Ufaransa

kwahiyo kisa Tz ni ulimwengu wa tatu bas mataifa mengine hayawez kuwa kundi hilo? ndan ya Iran kuna watu hata nguo hawabadili mpk mwaka unaisha , endelea kudanganywa na clips za tehran
ULichosema kinabadilisha nini?
Kuwa Irani sio third world?
 
CC: Allen Kilewella
 
unajua kuwa eterminant kubwa japo sio pekee ya maisha bora ni GDP ya Nchi husika?


kuna vingine vya kipuuzi puuzi vimechomekewa kama vile sijui uhuru wa kujieleza n.k ili kuzubaisha watu
In short huwezi kuitwa ulimwengu wa kwanza kama haupo kwenye kundi Lao.

Definition alioitoa Illmatic ni sahihi, first world countries ni USA, Nchi za west na washirika wao waliotawaliwa bila kujali Hali halisi za wananchi,

Na Kuna Nchi kibao zipo 3rd world na Zina maendeleo kushinda za 1st world
 
mara zote hizo kulikuwa na sababu zake lakini msingi wa maandamano ya sasa ni cost pull Inflation iliyosababishwa na kukatika kwa supply chain ya chakula na malighafi kama gas

weka source hapa inayosema wanaandamana kupinga inflation.
 
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu

huyo raia kama anajihusisha na violence kama kuvunja maduka,kuchoma magari na kujaribu kuwa attack polisi unadhani polisi wafanyaje?? Iran wao huzima maandano kwa nguvu lakini hawa wanakabiliana na wale wanaojaribu kufanya violence.
 
Tunacho Kizungumzia hapa ni
Vyomba vya Mabeberu kuwa kimya
Tunacho Zungumzia Hapa ni Raia Kupigwa Acha Porojo zisizo na Kichwa wala miguu

Hii internet unayotumia mpaka kuweka picha hizi ni chombo cha nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…